Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,043
So hizo "bidhaa za lazma" kama unavyoziita wewe, je utazisafirishaje? Kwa kubeba kichwani ama?Bidhaa za lazima tunazalisha wenyewe,Iran piga hao upinde.
So hizo "bidhaa za lazma" kama unavyoziita wewe, je utazisafirishaje? Kwa kubeba kichwani ama?Bidhaa za lazima tunazalisha wenyewe,Iran piga hao upinde.
Hata Kwa baiskeli xitafika.So hizo "bidhaa za lazma" kama unavyoziita wewe, je utazisafirashaje? Kwa kubeba kichwani ama?
upo siku utarudi kutoka kazini utakuta nyumba yako imelipuliwa na Iran kisa anatapatapa nchi zote duniani zisikie machungu anayopitia.Ujinga Tena !? Wewe kaa Kwa kutulia Ina maana wewe unawajua maadui wa Iran kuliko Iran wenyewe!?
Aramco ndio sponsorHuu sasa ni ujinga.
Kwanini usipige kambi za jeshi na vitu vya kivita.
Sasa oil hiyo itaaffect Dunia nzima.
Au Iran anataka afe na kila mtu, kwamba tugawane tu mbao mtumbwi uzame sizami peke yangu
Nakuona bwana ushauri kutoka bonyokwa......Huu sasa ni ujinga.
Kwanini usipige kambi za jeshi na vitu vya kivita.
Sasa oil hiyo itaaffect Dunia nzima.
Au Iran anataka afe na kila mtu, kwamba tugawane tu mbao mtumbwi uzame sizami peke yangu
Iran wamewaambia saudia hawahusiki na Hilo shambulioIran has launched an aerial strike involving drones and missiles that hit Saudi Arabia’s major Saudi Aramco oil refinery and export hub at Ras Tanura on the Gulf coast, forcing the facility to temporarily shut down operations as a precautionary measure.
Kwahiyo akipiga hizo nchi au hayo maeneo, yanaathiri vipi USA kumpiga?Husitegemee taifa lolote middle east likapigana na Iran, sababu ujasiri huo hawana hizo nchi zote zinalindwa na US na US anafanya hivyo sababu ya mafuta na maslahi yake. Iran anapiga hizo nchi sababj anajua US anamaslahi yake.
Kwa hiyo hata hizo roho za maskari wa US hazina maana?Kwahiyo akipiga hizo nchi au hayo maeneo, yanaathiri vipi USA kumpiga?
Tena sana ni ujinga mkubwa kuweka tumaini la usalama juu ya Jesh la Marekan!!Nchi zinazotoa maeneo kwa ajili ya Military Base za US kuna somo limeshawaingia sasa hivi.
Mmeanza kuishauri Iran sasa![]()
IRAN anakufa na Wanafiq kama Saudi Arabia na Dubai ambao ni Puppets wa Marekani na Pia Marekani itaathirika kwakuwa inaitegemea Saudi kwa mafutaHuu sasa ni ujinga.
Kwanini usipige kambi za jeshi na vitu vya kivita.
Sasa oil hiyo itaaffect Dunia nzima.
Au Iran anataka afe na kila mtu, kwamba tugawane tu mbao mtumbwi uzame sizami peke yangu
Mafuta? 🤔IRAN anakufa na Wanafiq kama Saudi Arabia na Dubai ambao ni Puppets wa Marekani na Pia Marekani itaathirika kwakuwa inaitegemea Saudi kwa mafuta
Tuanze na PutinNdiyo maana inatakiwa dunia nzima wakemee uhuni wa kuvamia mataifa mengine na kuuwa viongozi wao.
Tunaathirika wote.
Iran Huwa Hana Target, Mabomu Yao waliya set Toka zamani, like kikinuka hili litadondoka Saudia, hili UAE, hili Oman, hili Bahrain, haya uelekeo Israel, wapi hasa, itajulikana kule yanapokwenda wenyewe ndiyo watasema yamedondokea wapi...!Huu sasa ni ujinga.
Kwanini usipige kambi za jeshi na vitu vya kivita.
Sasa oil hiyo itaaffect Dunia nzima.
Au Iran anataka afe na kila mtu, kwamba tugawane tu mbao mtumbwi uzame sizami peke yangu