Taarifa kwa Umma: Maandamano kesho yanaendelea

Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Hebu acheni ujinga, acheni watu wafanye kazi, too many innocent people have died, acheni kuzua taharuki
 
SISI wananchi wazalendo HATUTAKI upuuzi unaoitwa maandamano.Shida yetu ni maji,chakula na maisha Bora Kwa ujumla.Hawa WAHUNI WANAOTAKA kuvuruga amani tutakula nao sahani Moja muda wowote hata wakisema Hadi mwaka 2070
Wewe sio mzalendo ni msapoti wauaji na mafisadi nakuhakikishia kwamba kama ambavyo mliuwa mtakufa Bendera soon itakuwa bize.
 
Rais Samia alisema vyombo vya usalama vimejipanga kwa muda wote,sana sana atakaye toa mlio ni SHEMEJI yako anayeangaika kukulisha wewe na dadako.
 
Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.

Kwa mbinu hii ya kutangaza maandamano daily ndiyo ambayo Gen Z watashinda maana WAHUNI wanaona curfew ndiyo solution ,je watafanya curfew daily? Hapana so lazima WATEME BUNGO.
Yes ,hii ni plan B kwamba ya kutoka barabarani imeshindikana kwasababu ya curfew basi ,plan B ni kwamba daily ni siku ya maandamano ili wao waendelee kushinda juani huku Gen Z wakishinda ndani ,shughuli za uchumi hazifanyiki tuone nani anayeathirika zaidi.😎😎😎
 
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Utoto Mzigo
 
Nimekuonya uache utoto katika suala hili. Hujui wengi wa vijana kula yao ipo mguuni. Asipotoka hakuna kula. Grow
 
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
I few veey sorry aisee
 
Mbona mkongwe lakini haufikirii sawsawa.

Hivi haujui kwamba wanaoathirika ni raia wa hali ya chini wanaotegemea tongue lao kutoka kila siku ?
Wewe ndiyo haufikirii kisawasawa ,raia wa hali ya chini kila siku wanaathirika kwa wizi ,ubadhilifu ,ufisadi wanaofanya hao WAHUNI unaowatetea ,maisha ya mTZ ni mabovu kwasababu ya WAHUNI kama nyinyi mnaoutetea mfumo wa KIHUNI mnaofaidika nao.

Nimeshauri kwa Gen Z ili wasiendelee kuuawa kwa risasi ni bora watangaze maandamano yasiyo na kikomo ili nyie WAHUNI muweke Curfew ambayo itasimamisha shughuli za uchumi na wote tuathirike siyo tu muendelee kulla SHUSHU huku sisi tukiteseka na jua la UTOSI....Kukiwa na curfew wote tunaathirika ila nyie MAJIZI ndiyo mtaathirika zaidi ,sisi kula mlo mmoja au kushindia uji tushazoea.
 
Taarifa kwa Umma:
Msako wa wahuni wanaosingizia maandamano Ili kuhujumu nchi kuendelea kesho na siku zijazo.
 
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Kama maandamano yatakuwa endelevu basi yatazidi kupata nguvu siku za kazi .
 
Hamuwezi kufanikiwa kwakuwa hamna mbeba maono

Nyie ni watu ambao hamna uwezo wowote wa kubattle na serikali
Inawezekana ila sio sifa kwa pande zote kuendelezq ubabe wakati vinaweza kuongeleka, na kuisha.

Maana hiyo curfew itaathiri pakubwa uchumi, maana serikali itakuwa barabarani muda wote sio kujenga Taifa
 
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Kama maandamano yatakuwa endelevu basi yatazidi kuoata nguvu siku za kazi
Taarifa kwa Umma:
Msako wa wahuni wanaosingizia maandamano Ili kuhujumu nchi kuendelea kesho na siku zijazo.
Wahuni ni samuya na kikwete na Rostam azizi
 
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Hongera kwa kuweka picha ya mumeo kwenye profile.
 
Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa.

Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi

Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026.

Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa na tutaendelea tulipoishia.

December 10 kesho maandamano yapo kama kawaida!!
Maandamano ya mtandanoni mbona yapo kila siku wewe kima!! Hayajawahi kusimama hata siku moja.

Wewe mwenyewe unaandamana JF kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom