Ujanielewa bado Allah katuza Quran kitabu cha mwisho.Kwa hiyo unataka kusema Allah ni dhaifu kashindwa kutunza vitabu vyake?
Ujanielewa bado Allah katuza Quran kitabu cha mwisho.Kwa hiyo unataka kusema Allah ni dhaifu kashindwa kutunza vitabu vyake?
Quran ni kitabu cha shetani, kimeandikwa hapo Al Azhar University 1924Ujanielewa bado Allah katuza Quran kitabu cha mwisho.
Quran hii ambayo haijui hata mke wa Adamu ni nani?Allah alipoona vitabu vyake vinachezewa.akaleta kiboko yao Quran
Allah ni pagan god ,ni shetani mwenyeweUjanielewa bado Allah katuza Quran kitabu cha mwisho.
Hizi ndo nyimbo zako wewe unaga jipya unarudia yale yale ya zamani, tangu uokoke ubango wako ulisha sizi na kuganda kabisa.Quran ni kitabu cha shetani, kimeandikwa hapo Al Azhar University 1924
Chuo chenye mizizi ya freemason na ashashin (assassin)
Quran ni kitabu cha shetani mwenyewe ili kumpinga Mungu muumbaji
Jibu hoja wewe usiye na elimuHizi ndo nyimbo zako wewe unaga jipya unarudia yale yale ya zamani, tangu uokoke ubango wako ulisha sizi na kuganda kabisa.
Hata nikikupa hayo maelezo ya wanazuoni bado utasema ni uongo🤣🤣🤣Yesu sio Mungu
Eleza vizuri mkuu, kivipi yani fafanua kidogo
Kwa maelezo yako inamaana unaamini kuna mtu anaweza kubadilisha kitabu chenye maneno ya Mungu?Kwanza kwenye dini ya uislamu hakuna "mimi ninavyoona" hicho kitu hakipo! Au "mimi mtazamo wangu ni huu" hicho kitu hakipo! Tuambie hii tafsiri imetoka kwa Imam huyu au huyu! Hapo tutakwenda sambamba kwa sababu waliyobeba elimu ya tafsiri ya Qur'an wanafahamika.
Kuna nyenzo 3 tu za kutafsiri Qur'an:
1)Qur'an kwa Qur'an
2)Qur'an kwa sunna
3)Qur'an bi swahaba
Hivyo tafsiri ya Qur'an imeshamalizwa. Hivyo, hakuna mimi ninavyoona.
Aya uliyonukuu ni kutoka suratul An aam. Aya inasema:
وَلَقَدْ كُذِّبَتْ رُسُلٌ مِّن قَبْلِكَ فَصَبَرُوا عَلَىٰ مَا كُذِّبُوا وَأُوذُوا حَتَّىٰ أَتَاهُمْ نَصْرُنَا ۚ وَلَا مُبَدِّلَ لِكَلِمَاتِ اللَّهِ ۚ وَلَقَدْ جَاءَكَ مِن نَّبَإِ الْمُرْسَلِينَ
Subtitle yake:
“Na kwa yakini Mitume kabla yako walikanushwa; wakavumilia kwa yale waliyokanushwa na wakaudhiwa, mpaka ikawajia nusura Yetu. Na hakuna wa kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu. Na kwa yakini zimekufikia khabari za Mitume.”
Haya maneno yana maana gani? Tafsiri: Mwenyezi Mungu anamwambia Mtume asihuzunike kwa kukanushwa, kwa sababu hiyo ndiyo hali iliyowapata Mitume wote waliopita. Waliudhiwa, wakateswa, lakini hawakuacha wito wao, mpaka Mwenyezi Mungu alipowapa ushindi juu ya maadui zao.
Yaani: Aya hii inafundisha kwamba subira juu ya maudhi katika njia ya da‘wah ni wajibu, na kwamba nusura haiji kwa haraka, bali huja kwa hekima ya Mwenyezi Mungu baada ya mtihani.
Kadhalika: “Na hakuna wa kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu” ina maana ya hukumu na ahadi Zake, kwamba haki hatimaye hushinda.
Mkuu kwanini aliruhusu hivyo vingine vichezewe au alishindwa kuvilindaAllah alipoona vitabu vyake vinachezewa.akaleta kiboko yao Quran
Vilivyobadilishwa vimebadilishwa lakini sio Qur’an labda mtu aje na tafsiri tofauti ya kupotosha kama mnavyofanyaga nyinyi ila lakini mwisho wake hufahamika tuKwa maelezo yako inamaana unaamini kuna mtu anaweza kubadilisha kitabu chenye maneno ya Mungu?
Swali ni kwamba, kwanini vimebadilishwa wakati anasema hakuna wa kubadilisha neno lake? Kwanini aliruhusu vitabu vyake vibadikishwe au hana uwezo wa kuvitunza?Vilivyobadilishwa vimebadilishwa lakini sio Qur’an labda mtu aje na tafsiri tofauti ya kupotosha kama mnavyofanyaga nyinyi ila lakini mwisho wake hufahamika tu
NimekujibuSwali ni kwamba, kwanini vimebadilishwa wakati anasema hakuna wa kubadilisha neno lake? Kwanini aliruhusu vitabu vyake vibadikishwe au hana uwezo wa kuvitunza?
Kwanza kiri kuwa ulitoa tafsiri siyo sahihi! Kisha baada ya hapo tutakuja kwenye nukta inayofuata.Kwa maelezo yako inamaana unaamini kuna mtu anaweza kubadilisha kitabu chenye maneno ya Mungu?