vema zaidi. Ila nikusaidie kitu ukitaka kupata mkopo vizuri usisajili kama kikundi.sajili ka biashara,kampuni au kiwanda na mgawane his a mfano mpo 10, his a 100÷10=his a 1. kwa msaada zaidi 0754566564
Barclays. i have used for more than two years now.
-to receive payments online=payoneer..
bank za Tanzania are banned to receive online money due tolau dry issues.
Hamna makato,nilitumia crdb zamani kidogo.
-Ila nakushauri utumie barclays,wako fasya na proffesional.
-Hao Crdb teknolojia bado iko chini has a refunds n transactions,unaweza ukashop pesa ikakatwa alafu ukaachwa kwenye mataa network inajam bado hawana massive n advanced machines.
usa apambane kiume.yeye na israel mbona haingiliwi, na wanamgambo wa islamic state.Inabidi kae level moja na urusi ndo itashika adabu na unafki.
-icho kijiwe chake cha un kitamzuia yeye wakati anakipa mkwanja zaidi ya 50%.upuuzi tu
Salaam wakuu.
Nimepitia pitia website ya BOT sijaona wameliweka hili jambo wazi.
-Mtaji unaotakiwa kuanzisha bank na deposit % ngapi inakaa reserve bot.
-Mimi ni mfanyabiashara na ninapenda kujua na kufahamu mambo mapya kila sekunde.
Salaam..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.