sasa inabidi tujiulize kwanini fiscal policies za wakati wa JK ni tofauti kabisa na za JPM
Kama unamfahamu Phillip Mpango swali lako ni rahisi kulijibu; huyu bwana ni opportunist hivyo anakwenda na upepo kulinda maslahi yake na sio ya nchi!! Kama alikuwa mwanafunzi wa Ndullu so what; hapo hapo tumeshuhudia hazina na BOT wakibishana juu ya nani alitakiwa alipe VAT kwenye miamala ya simu na mabenki!! Kama kulikuwa na ushirikiano kati ya hazina na BOT kwasababu ya taasisi moja kuongozwa na mwalimu na nyingine na mwanafunzi wake malumbano tuliyoshuhudia yaliyoiabisha serikali yasingetokea!!!