KUANZISHA BENKI,MTAJI WA CHINI.

zuch13

Member
Dec 7, 2016
16
5
affb9781f0e620cf827f93c904770920.jpg
Salaam wakuu.
Nimepitia pitia website ya BOT sijaona wameliweka hili jambo wazi.
-Mtaji unaotakiwa kuanzisha bank na deposit % ngapi inakaa reserve bot.
-Mimi ni mfanyabiashara na ninapenda kujua na kufahamu mambo mapya kila sekunde.
Salaam..
 
Back
Top Bottom