Tumia moja kati ya hizi benkiNisaidieni wakuu nataka nijue hapo... Mfano kuunganisha pay pal account, kulipia amazon, Alibaba etc ni bank gani nzuri naweza kutumia kufanya haya mambo
Yap mkuuUba ndo united bank of africa?
- Zingatia malengo ya elimika Account - Kutunza akiba, Na unaruhusiwa kutoa mara 4 kwa mwaka.vp akaunt ya elimika ya mwanafunzi ya equity naruhusiwa kufanya online transaction?
Kwa kila muamala unayofanya kupitia Paypal, bank wanakata tsh 300/- tu kama charges yao.jaman vp kuhusu bank ya equity? gharama za kuruhusu online transaction km paypal wanakata sh ngap?
kumbe wapo vizur eeeh vp kuhusu mm nina a/c. equity ya mwanafunzi inayoitwa elimika nilifungua kwa sh 5000 tu jee hii inaweza kuruhusu online transactionKwa kila muamala unayofanya kupitia Paypal, bank wanakata tsh 300/- tu kama charges yao.
View attachment 470308
Samba na hilo kila ukiigia kwenye account yako kupitia app yao pia wanakata tsh 300/- tu
oooh asante sana mwlm ubarikiwe bas ngoja nikafungue ile a/c ya kawaida ya sh 10000- Zingatia malengo ya elimika Account - Kutunza akiba, Na unaruhusiwa kutoa mara 4 kwa mwaka.
- Je kwa nini usichukue kadi maalumu kwa ajiri ya manunuzi mtandaoni tu? hapo hapo equity.
- Ili iasi kidogo utakachotoa kwenye elimika account ndio ukiweke kweny kadi yako na kufanyia manunuzi mtandaoni