Recent content by zogondo

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji tiba ya mtu aliyepooza na uvimbe kwenye ubongo

    Wadau nina mgonjwa kapalalaizi tumeenda Muhimbili imesemekana ana uvimbe kwenye ubongo uliosababishwa na TB (kifua kikuu). Mwenye kujua dawa ya kuyeyusha huo uvimbe anisaidie, hata mawazo pia ntayapokea nilimradi nipate pa kuanzia.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Tujuzane kidogo, Uchawi una nafasi gani katika biashara

    Uhu uhu uhu[emoji1787][emoji1787] acha nikucheke kwa dharau Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

    Ni pm tuyajenge Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kampuni ya kuzuia ujangili (kwa waliopitia jkt tu)

    Kwa hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada:kuhusu biashara y nguo vijijini

    Vitenge ?? Tenna chuo ??
  6. Z

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Hivi dawasa kwa nini mnakata maji kabla ya mwezi kuisha hamjui wengine tunapokea pesa tarehe thelathini
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu masoko ya kuuza asali kwa jumla

    Hujatoa mchanganuo kwa nini Kenya ?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Nauza asali ya nyuki wadogo

    MAAJABU YA ASALI YA NYUKI WADOGO KM HUYAJUI PITIA DAKIKA 2 Asali ya nyuki wadogo/wapole(stingless bees' honey) imekuwa ikitumiwa toka enzi za mababu zetu kama chakula na tiba kwa maradhi mbalimbali, sababu kubwa ikiwa ni utajiri wa virutubisho, madini na uwezo wa kutibu magonjwa mara mbili...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

    Hiyo sio laki tatu piga hesabu uone
  10. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpata mpenzi wako wa zamani

    Unamfahamu?
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Soko la bata aina ya Moscovy

    Kanyagio tena la kitimoto
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Asali ya nyuki wadogo ni tiba soma hapa

    MAAJABU YA ASALI YA NYUKI WADOGO KM HUYAJUI PITIA DAKIKA 2 Asali ya nyuki wadogo/wapole(stingless bees' honey) imekuwa ikitumiwa toka enzi za mababu zetu kama chakula na tiba kwa maradhi mbalimbali, sababu kubwa ikiwa ni utajiri wa virutubisho, madini na uwezo wa kutibu magonjwa mara mbili...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Umekurupuka Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua nta mkoa wa Tabora

    ncheki tuongee 0717709300
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    pia mwenye wimbo Wa ...... "Tanzania you are a beautiful country Tanzania you are my country in the woord" wimbo uliimbwa na watoto flan wa kike watatu wanaisifia Tz,
Back
Top Bottom