Nauza asali ya nyuki wadogo

zogondo

Member
Apr 12, 2018
20
2
MAAJABU YA ASALI YA NYUKI WADOGO KM HUYAJUI PITIA DAKIKA 2

Asali ya nyuki wadogo/wapole(stingless bees' honey) imekuwa ikitumiwa toka enzi za mababu zetu kama chakula na tiba kwa maradhi mbalimbali, sababu kubwa ikiwa ni utajiri wa virutubisho, madini na uwezo wa kutibu magonjwa mara mbili zaidi ya asali ya kawaida!

Miongoni mwa maradhi yanayotibika kwa asali ya nyuki wapole/wadogo ni MAGONJWA YA MOYO hasa MOYO ULIOPANUKA! Mtoto mdogo aliyezaliwa na moyo mpana, wenye tundu alipona kabisa kwa kutumia tiba hii
Faida zaidi ni kuongeza kinga ya mwili, kuboresha mzunguko wa damu, kuondoa lehemu mbaya (LDL-chole
sterol) kupunguza unene/uzito, shida ya kukosa usingizi, matatizo ktk mfumo wa chakula, kupunguza maumivu wakati wa hedhi, kuimarisha ubongo, matatizo ya mfumo wa upumuaji (kikohozi,mafua,pumu) n.k

Virutubisho vilivyojaa katika asali ya nyuki wadogo ni pamoja na vitamini A,B1,B2,B3,B5,B6,B8,B9,B12 na vitamini C. Madini Calcium, Magnesium, Potasi, Chuma na Zink pamoja na kiasi kidogo cha protini na hormone.

Kwa shida zote za afya,na kwa ajili ya afya, tumia kijiko cha chai cha asali hii asubuhi na jioni
Bei yake ni 40,000/= kwa lita moja.
Ni bei kubwa lakini faida zake ni zaidi ya bei hiyo.
Yakiasili, mbichi, Original na ya uhakika
Napatikana Dar es salaam usafiri ni bure na mkoani pia natuma
Ni pm au piga 0629359267
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom