CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,942
- 9,463
Muu fuga Bata wa Nyama Pekin na Bata wa Mayai Khak campbell hawa wa mayaumi wanataga mayai hadi 360 kwa mwaka na hawa wa nyama wana mature wiki 8 ukiwalisha chakula cha Broiler.
Hao wakienyeji wanasumbua sana ukuaji wake.
Hao wakienyeji wanasumbua sana ukuaji wake.
Wakulima na wafugaji Mambo vipi!
Nina plan za kufuga bata wa kienyeji aina ya Muscovy, nataka kufuga kibiashara zaidi, kuanzia mwezi ujao nataka niwe nimeshaanza project hii.
Sasa naomba tupeane uzoefu kutoka kwa wafugaji hasa kuhusu SOKO la hawa bata..
Mimi nipo dsm kimara.
View attachment 1195506
View attachment 1195507
aina hiyo ya bata.
Karibuni.

