Recent content by zoga

  1. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naona Utumishi wanakumbuka hadi viporo vya 2022 database LGA .....Wanafanya jambo jema sanaaa Waache za Taasisi mbalimbali pdf database nzito watu tutoe stress
  2. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hawa PSRS wanachozingatia wao ni per diem tu.... Wataendesha usaili mwisho wa siku robo 3 nzima ya watu watatoka database
  3. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Utata Mtupu Utumishi... Interview kuita nako shida inaenda Mwaka Kutoa Database watu mtaani nako Shida Mbona mnatupa wakati mgumu vijana wenu Bado tu hamjaridhika kuingiza watoto wenu...
  4. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😆😆😆😆😆.....Tupo hatua 10 nyuma
  5. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Utumishi waachie database MDA tutoke mtaani..............Tuliofanya Taasisi tofauti ndo pona yetu na tumain letu lipo hapo maana mambo yanaenda kombo kama Taasisi zinaajiri zenyewe
  6. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Haya mambo ya Utumishi kwa kweli ni Neema ya Mungu.....Ndomaana kwenye Oral wameweka siri yao marks zako hawataki kuweka wazi kunakitu wanachojua wao... Na baada ya wasakaji kuwa watafiti kujua kupitia Application yao wameona shida wakaifungia(undermaintanance) Upepo ukikubali mnalamba asali...
  7. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna kazi walitangazaga Utumish za walimu walifanyaga Usail kabla zile za Tamisemi kutangazwa .....
  8. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tuna elimishana humu Kiongozi.... Hizi hazipendezi kama unaona huna haja ya kujibu bora kukaa kimya mwingine atamjibu kuliko kuitana hivyo
  9. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😀😀😀😀😀😀......Picha linaaza Chukua Majina ya pdf la Tangazo kada hiyo alafu compare majina ya walioitwa kazini....
  10. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kiongozi mimi ninayo ya mwaka 2022 received ...bado sijakata tamaa ninaendelea na maandalizi ya Interview 😀😀😀
  11. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😀😀😀.....Mnatuambia tuache makasiriko Kiongozi.... Hilo swala sio geni kwa PSRS kama mfutiliaje wa mienendo yao ikifika mwisho wa mwaka wa budget.....
  12. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😀😀😀😀😀.....🙏
  13. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ila waliongiza watoto wao kwa mpako wa kujitolea na wenye mkataba wamejaandaa vinzuri et kiongozi..... PSRS ufanisi sasa hivi upo chini tena zaidi
  14. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    😀😀😀....Mnavyoona wabunge wanapiga kelele kipaumbele wanajitolea unazani polojo zile wanazoongea wakat wanatumwa....
  15. zoga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kiongozi ngoja ninyamaze....kunasiku utaelewa kwnn nimeongea hivyo ... Psrs ya mapambio na kusafisha mioyo ya vijana wenye vidonda ilikuwa 2022 kurudi nyuma na unaona lakani ya sasa 😪😪....
Back
Top Bottom