bky123
Senior Member
- Feb 18, 2025
- 155
- 227
Zipi zimetangazwa tena
kada ya afya wanatangaza kazi daily hawanaga database au ndo walishaisha wote
kada ya afya wanatangaza kazi daily hawanaga database au ndo walishaisha wote
wametangaza kachekZipi zimetangazwa tena
Nimeona tayariwametangaza kachek
Hawa PSRS wanachozingatia wao ni per diem tu....wametangaza kachek
Ni kweli. Kwa upande wa Tax Management Officer II, wale waliosoma Bachelor of Banking and Finance, waliapply, wakawa shortlist, wakazuiwa mlangoni,. Ni kama utumishi tu, kama kozi haijatajwa, ukaomba na kiwa short listed, katika kuhakiki vyeti wanakuzuia.Naomba kuuliza waliofanya interview ya Tra mwaka jana eti kuna watu majina yao yalitoka lakini walikuja chomolewa wasifanye mtihani???
E.g waliosoma BBA in something walitolewa wakaachwa wale wa BBA kavu(in general)
Ni kweli???
Kama sio BBA accounts au Finance hawatoruhusiwa kufanya interview.Naomba kuuliza waliofanya interview ya Tra mwaka jana eti kuna watu majina yao yalitoka lakini walikuja chomolewa wasifanye mtihani???
E.g waliosoma BBA in something walitolewa wakaachwa wale wa BBA kavu(in general)
Ni kweli???
yaani ni upuuzi mtupu aisee wanasumbua watu tuHawa PSRS wanachozingatia wao ni per diem tu....
Wataendesha usaili mwisho wa siku robo 3 nzima ya watu watatoka database
kwaiyo kuna watu walipewa thank you🤣 🤣Ni kweli. Kwa upande wa Tax Management Officer II, wale waliosoma Bachelor of Banking and Finance, waliapply, wakawa shortlist, wakazuiwa mlangoni,. Ni kama utumishi tu, kama kozi haijatajwa, ukaomba na kiwa short listed, katika kuhakiki vyeti wanakuzuia.
Hiyo ni kawaida saana.. Kuna jamaa alichomolewa kwenye oral masikini ya munguNaomba kuuliza waliofanya interview ya Tra mwaka jana eti kuna watu majina yao yalitoka lakini walikuja chomolewa wasifanye mtihani???
E.g waliosoma BBA in something walitolewa wakaachwa wale wa BBA kavu(in general)
Ni kweli???
aisee ningekua mimi sitoki kwanini waniache mpaka nifike oral 🤣 🤣Hiyo ni kawaida saana.. Kuna jamaa alichomolewa kwenye oral masikini ya mungu
Ndio kweliNaomba kuuliza waliofanya interview ya Tra mwaka jana eti kuna watu majina yao yalitoka lakini walikuja chomolewa wasifanye mtihani???
E.g waliosoma BBA in something walitolewa wakaachwa wale wa BBA kavu(in general)
Ni kweli???
Eti hyo haiwezekani, yan wame shortlist, nimepiga written then naiona asali inakaribia ndio wanichomoe dah sitoki😀😀😀😀😀aisee ningekua mimi sitoki kwanini waniache mpaka nifike oral 🤣 🤣
haloo mie wangeniua labda ingekua za halmashauri ila TRA labda wangekuja na vifaru ndo ningetoka 🤣 🤣Eti hyo haiwezekani, yan wame shortlist, nimepiga written then naiona asali inakaribia ndio wanichomoe dah sitoki😀😀😀😀😀
Long time no see .. mzee wa borderWaungwana. Kama kuna mtu anafahamu kuna group la kufanya maandalizi ya interview za IT & Telecom anijulishe. Nipo Zambia nimeitwa kwenye usaili tarehe 16.
Nipo mzee. Nazunguka tu kutafuta uhafueni wa maisha mkuuLong time no see .. mzee wa border
Unadhani ungefanyaje?haloo mie wangeniua labda ingekua za halmashauri ila TRA labda wangekuja na vifaru ndo ningetoka 🤣 🤣
Kwa waliokuwepo DUCE waliruhusiwa kufanya mtihani kwasababu hiyo sio banking pekee bali banking na finance. Sijui hao waliozuiwa walikua kituo kipi cha mtihani boss.Ni kweli. Kwa upande wa Tax Management Officer II, wale waliosoma Bachelor of Banking and Finance, waliapply, wakawa shortlist, wakazuiwa mlangoni,. Ni kama utumishi tu, kama kozi haijatajwa, ukaomba na kiwa short listed, katika kuhakiki vyeti wanakuzuia.
Hv tofauti za hizi TIN ni zipi mana Mm nna TIN na imeandikwa Only for Non for business use, ila mm ilihitajika kazin sekta binafsi.Kwa nini una-apply TIN namba ya biashara kijana? Apply isiyo ya biashara
Ndomana wakaweka usahili wa pili pia kama vile oral sababu ni ile ile tu ni kupata watu sahihi zaidi kutokana na malengo ya taasisi yao wanavyo taka wenyewe mkuu, kama mfumo hau kuhitaji ni kazi bure kuendelea kufanya mapambano ya lazima kwakuwa ulifanya tayar written interview then na huko wakuache hapana, kikubwa ikitokea hivyo ni kukubali matokeo kwamba hiyo sio riziki yako songa mbele tafuta kwingine mungu yupo nawe daima ata bless tu siku moja.🙏Hiyo ni kawaida saana.. Kuna jamaa alichomolewa kwenye oral masikini ya mungu