zoga
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 780
- 1,532
😀😀😀.....Mnatuambia tuache makasiriko Kiongozi....sahivi ata matangazo ya ajira yamekatika
Hilo swala sio geni kwa PSRS kama mfutiliaje wa mienendo yao ikifika mwisho wa mwaka wa budget.....
😀😀😀.....Mnatuambia tuache makasiriko Kiongozi....sahivi ata matangazo ya ajira yamekatika
😂😂🤣😀😀😀.....Mnatuambia tuache makasiriko Kiongozi....
Hilo swala sio geni kwa PSRS kama mfutiliaje wa mienendo yao ikifika mwisho wa mwaka wa budget.....
ndio,usifanye hasira chief,huu mchezo hauhitaji hasira, mimi nina received moja hiyo nilituma tarehe 28 mwezi wa 5,2024 naona iko vile vile mpaka leo😀😀😀.....Mnatuambia tuache makasiriko Kiongozi....
Hilo swala sio geni kwa PSRS kama mfutiliaje wa mienendo yao ikifika mwisho wa mwaka wa budget.....







naona nina received ya 2022ndio,usifanye hasira chief,huu mchezo hauhitaji hasira, mimi nina received moja hiyo nilituma tarehe 28 mwezi wa 5,2024 naona iko vile vile mpaka leo![]()
Engeneer salama leko🤣naona nina received ya 2022View attachment 3213571
RMA mkuuUliomba kazi gani mkuu?
Kiongozi mimi ninayo ya mwaka 2022 received ...bado sijakata tamaa ninaendelea na maandalizi ya Interview 😀😀😀ndio,usifanye hasira chief,huu mchezo hauhitaji hasira, mimi nina received moja hiyo nilituma tarehe 28 mwezi wa 5,2024 naona iko vile vile mpaka leo![]()
Kwa sababu hizo ajira hazipo ni maigizo tuWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
aleko msalamuEngeneer salama leko🤣
Boss iv ulifanyaga interview nyengne au ndo Ile ya 2023aleko msalamu
sijawahi kufanya tena tangu 2023Boss iv ulifanyaga interview nyengne au ndo Ile ya 2023
Leo wamejitajidi Kuna mwanangu kalamba asali ..hivi na jpili wanatoaga kwel au ndo tusubiri mpaka j3???Mmeliona pdf la leo??
wanafyatua tu mkuuLeo wamejitajidi Kuna mwanangu kalamba asali ..hivi na jpili wanatoaga kwel au ndo tusubiri mpaka j3???
Ngoja tusubiri na kesho huwenda tukatokeawanafyatua tu mkuu
Mungu atusaidie mkuu wanguNgoja tusubiri na kesho huwenda tukatokea
Amina Mkuu🙏🙏Mungu atusaidie mkuu wangu
Kaka unatupa za ndaniii jambo gani hiloJiandaeni kuna jambo huko soon mkachukue number za usaili kwenye portal
Mkemia,TBS?Jiandaeni kuna jambo huko soon mkachukue number za usaili kwenye portal