Mbona usaili wa walimu umeenda fasta fasta placement juuSahihi utumishi ina nguvu kazi ndogo ni wakati wao sasa na wao wapate kibali cha kuajiri ili kuongeza nguvu kazi ili kuboresha ufanisi wa kaz ziende kwa haraka
Mbona usaili wa walimu umeenda fasta fasta placement juuSahihi utumishi ina nguvu kazi ndogo ni wakati wao sasa na wao wapate kibali cha kuajiri ili kuongeza nguvu kazi ili kuboresha ufanisi wa kaz ziende kwa haraka
Mkuu sasa kazi zilitangaziwa wapi wakat mfum ulikua tamisemi??Ni jambo jema sana kama wamechukuliwa, maana hao hao huenda wengi wao ndio waliomba hizi ambazo sahili zinaendelea
Ndio vizur au wewe hutakiMbona usaili wa walimu umeenda fasta fasta placement juu
Univute hapo Naot sasa😝Hongera sana na karibu tena humu.
Pia Hongera kwa kutambua namna mazingira hayo yalivyo, hivyo ni hatua mojawapo ya kukusukuma kusonga mbele.
Ili utatue tatizo ni lazima ulibaini, wewe tayari umeshalibaini. Kilichobaki ni kuchora ramani ya kulitatua.
Sio poaNdio vizur au wewe hutaki
Mkuu fuatilia wale ni watoto wawakurugenz wakuu wa mikoa makamanda wa jeshi waanze kwanza. Jamaa mmoja kaomba kazi majina yamefuatana kwenye pdf watafanya usail mwez huu trh 22 ila jina lake tayari lishatoka kapata kaziSio poa
😄😄😄 sikucheki, kinachonichekesha nimewaza jinsi mahangaiko hayaishi kwa mwanadamu. Ukipata hiki kinakuja na changamoto zake, pambana usolve ilo lililoko mbele yako. Hapa duniani maisha ni kupambana hadi siku unaingia kaburini.Dah nimewamiss sana watu wa Mungu,hata sikumbuki nliishia page ipi nicatch up.
Yote kwa yote Halmashauri kiboko jamani😭😢🙌🏾.
Am grateful nina kazi but dah maisha ni magum jamani i wish nihame. Yani apart from mshahara hakuna nachopata najua mtu hawezi amini,yani no posho no nini😢 unajikuta huna hata akiba.
Those times what mattered ilikua “cha muhimu uingie kwenye system , upate cheque number” haya sasa hivi ni kustruggle kupata green pasture kama kwenye maatasisi huko.
Nikiwaza sisi ndo wale tusio na connection nachoka🙌🏾, yani hujui hata uanzie wapi dah
Anyways nimewamiss sana nyie watu, nipo hapa nilipo kwa sababu Mungu alinitambulisha kwenu, na mkanisaidia mm kufika hapa,mbarikiwe sana nawapenda mnooo
Been a year now, sina amani nilipo lakini at least am not jobless, kama ambavyo sikujua ningepataje huku na nikapata i believe pia nitatoka kwenda mahali pazuri zaidi.
Some of us we have not had it easy kwenye maisha yetu, hatuna mapesa hatuna connection so miujiza tu ya Mungu.
Ukichek wenzio daily wanahama tu kwenda kwenye maatasisi mara Mkurugenzi abanie barua drama za hapa na pale, unabaki unakodoa macho tu like God when na mimi😢
Mtu anaripot anakaa miez 6 shwaaaa hadi raha,halafu kuna akina sisi. Yani nipo mkoa mgumu sana i wish mtu aelewe mana nje mzunguko hakuna kufungua biashara kwa mtu kama mm ni kama tu unatupa hela🙌🏾
Yani ndani ntiti nje ntiti,kheri kazin kungekua mtiti sawa mtu unaweza jibana ukaanzisha kakitu kwa kuwa kuna population kitaprosper bt huku watu hakuna kilimo ndo usiguse yani kama cursed place🙌🏾
Tupeane mbinu jamani tunatokaje huku Halmashauri😢
I have so much to say kwa moyo wangu😢
Maisha yapo.Mkuu fuatilia wale ni watoto wawakurugenz wakuu wa mikoa makamanda wa jeshi waanze kwanza. Jamaa mmoja kaomba kazi majina yamefuatana kwenye pdf watafanya usail mwez huu trh 22 ila jina lake tayari lishatoka kapata kazi
Kila mwenye sifa aliyewahi kufanya usahili na akafaulu ana haki ya kupangiwa kituo cha kazi nafasi zikipatikana.Mkuu sasa kazi zilitangaziwa wapi wakat mfum ulikua tamisemi??
Wapo wanahamia ila sijui mbinu gani wanatumia. Suala la kuwa na mkono mrefu linabaki kuwa factor muhimu.Univute hapo Naot sasa[emoji13]
Kuna kazi walitangazaga Utumish za walimu walifanyaga Usail kabla zile za Tamisemi kutangazwa .....Mkuu sasa kazi zilitangaziwa wapi wakat mfum ulikua tamisemi??
Walitangaza ila hawakuita watu kufanya usailiKuna kazi walitangazaga Utumish za walimu walifanyaga Usail kabla zile za Tamisemi kutangazwa .....
Itakuwa miaka mingi sana mkuu hata wakati sina mpango wa kujoin psprsKuna kazi walitangazaga Utumish za walimu walifanyaga Usail kabla zile za Tamisemi kutangazwa .....
Umeeleza vyema mkuu tuendelee kuhudhulia interviewKila mwenye sifa aliyewahi kufanya usahili na akafaulu ana haki ya kupangiwa kituo cha kazi nafasi zikipatikana.
Hivyo basi hao waliowahi kufanya ndio wanabahatika kupangiwa kazi kwa sasa.
Pia, hawa walimu wanaoendelea kufanya sahili, wale wote watakaofika oral na kufaulu, kuna wapo watabaki database na watapangiwa nafasi baadae zilipatikana.
Mfano: Hawa wanaotolewa database huenda kunawapo walifanya sahili za nafasi ya kazi NECTA kama Examination Officer, Quality Control Officer, Quality Assurance Officer ila wakapangwa kufundisha.
Halafu hawa watakobaki database wanaweza kuja kupata nafasi baadae sehemu zingine palipo pazuri zaidi mfano huko NECTA na kwenye Vyuo vya kati.
Hivyo hapa ni ishu ya kucheza na bahati unaweza kuangukia popote.
Na mwenye Mungu ndio hupata pa nonoMaisha yapo.
Wengine wana wajomba, wengine tuna Mungu.
Mimi naamini kwenye kujiandaa vizuri na mapema ayo mengine namwachia Mungu kwa sababu Sikio lake sio zito ata akashindwa kutusikiaNa mwenye Mungu ndio hupata pa nono
Safi mkuuu chapa kitabu mapema week ijayo mwez mfupi huu subili shortlist huku ukipiga msuli wa maana kila siku at list tenga masaa mawiliMimi naamini kwenye kujiandaa vizuri na mapema ayo mengine namwachia Mungu kwa sababu Sikio lake sio zito ata akashindwa kutusikia
Haya mambo ya Utumishi kwa kweli ni Neema ya Mungu.....Ndomaana kwenye Oral wameweka siri yao marks zako hawataki kuweka wazi kunakitu wanachojua wao...Mimi naamini kwenye kujiandaa vizuri na mapema ayo mengine namwachia Mungu kwa sababu Sikio lake sio zito ata akashindwa kutusikia