HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mzigo mwingine umemwagika huko mkachungulie kisha mlete ushuhuda
 
Kuna shuhuda zozote au tumekubaliana hamna shuhuda za Walimu.

Kwenye Afya tulipata shuhuda chache japo wengi waliingia kundini.

Hongereni wote mlioingia kundini, mkawe watumishi wema!
 
Dah nimewamiss sana watu wa Mungu,hata sikumbuki nliishia page ipi nicatch up.
Yote kwa yote Halmashauri kiboko jamani[emoji24][emoji22][emoji1487].

Am grateful nina kazi but dah maisha ni magum jamani i wish nihame. Yani apart from mshahara hakuna nachopata najua mtu hawezi amini,yani no posho no nini[emoji22] unajikuta huna hata akiba.

Those times what mattered ilikua “cha muhimu uingie kwenye system , upate cheque number” haya sasa hivi ni kustruggle kupata green pasture kama kwenye maatasisi huko.

Nikiwaza sisi ndo wale tusio na connection nachoka[emoji1487], yani hujui hata uanzie wapi dah

Anyways nimewamiss sana nyie watu, nipo hapa nilipo kwa sababu Mungu alinitambulisha kwenu, na mkanisaidia mm kufika hapa,mbarikiwe sana nawapenda mnooo

Been a year now, sina amani nilipo lakini at least am not jobless, kama ambavyo sikujua ningepataje huku na nikapata i believe pia nitatoka kwenda mahali pazuri zaidi.

Some of us we have not had it easy kwenye maisha yetu, hatuna mapesa hatuna connection so miujiza tu ya Mungu.

Ukichek wenzio daily wanahama tu kwenda kwenye maatasisi mara Mkurugenzi abanie barua drama za hapa na pale, unabaki unakodoa macho tu like God when na mimi[emoji22]

Mtu anaripot anakaa miez 6 shwaaaa hadi raha,halafu kuna akina sisi. Yani nipo mkoa mgumu sana i wish mtu aelewe mana nje mzunguko hakuna kufungua biashara kwa mtu kama mm ni kama tu unatupa hela[emoji1487]

Yani ndani ntiti nje ntiti,kheri kazin kungekua mtiti sawa mtu unaweza jibana ukaanzisha kakitu kwa kuwa kuna population kitaprosper bt huku watu hakuna kilimo ndo usiguse yani kama cursed place[emoji1487]

Tupeane mbinu jamani tunatokaje huku Halmashauri[emoji22]

I have so much to say kwa moyo wangu[emoji22]
Hongera sana na karibu tena humu.

Pia Hongera kwa kutambua namna mazingira hayo yalivyo, hivyo ni hatua mojawapo ya kukusukuma kusonga mbele.

Ili utatue tatizo ni lazima ulibaini, wewe tayari umeshalibaini. Kilichobaki ni kuchora ramani ya kulitatua.
 
Hapo sasa ndio waseme wao walikotoa hao waalimu aisee waalimu wana kazi sana moto unawaka kama wapo tamisemi vile vile tu
Walimu mbona wamekuwa wakifanya interview utumishi na nafasi hutangazwa kwa baadhi ya kada hasa masomo ya sayansi mbona si mara moja? Hao walikuwa kwenye data base
 
Database ipi ya tamisemi ?? Mana huku Utumishi hawakuwepo
Wewe walimu kuna baadhi ya matangazo ya kazi zao yamekuwa yakitangazwa ajira portal kitambo! Hao walikuwa data base
 
Wewe walimu kuna baadhi ya matangazo ya kazi zao yamekuwa yakitangazwa ajira portal kitambo! Hao walikuwa data base
Asanteh mkuu nilikuwa sifahamu nikajua ni mara yao ya kwanza ajira zao kutangazwa Utumishi
 
Tuna elimishana humu Kiongozi....
Hizi hazipendezi kama unaona huna haja ya kujibu bora kukaa kimya mwingine atamjibu kuliko kuitana

Walimu mbona wamekuwa wakifanya interview utumishi na nafasi hutangazwa kwa baadhi ya kada hasa masomo ya sayansi mbona si mara moja? Hao walikuwa kwenye data base
Ole
Walimu mbona wamekuwa wakifanya interview utumishi na nafasi hutangazwa kwa baadhi ya kada hasa masomo ya sayansi mbona si mara moja? Hao walikuwa kwenye data base
Mkuu sikuwahi sikia maana nimeanza kuwa active mwaka jana mwez wa 6 kama sikosei na ajira za utumish
 
Qumaqumamamaeee walimu wametolewa database wakuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Ni jambo jema sana kama wamechukuliwa, maana hao hao huenda wengi wao ndio waliomba hizi ambazo sahili zinaendelea
 
Back
Top Bottom