Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,193
- 5,241
Mmh waalimu ni wengi sana aisee sio mchezo. Nimepita sehem wazee kwa watoto wote wanafanya usailiNdo wale waliokuwa hawataki usaili 😂
Mmh waalimu ni wengi sana aisee sio mchezo. Nimepita sehem wazee kwa watoto wote wanafanya usailiNdo wale waliokuwa hawataki usaili 😂
Hao hao waliopo, wangemuelewa tuHuyo mwalimu aliyepata 0 alitaka akafundishe mtoto wa nani?
Mungu asikie maombi yetu...Haloo Hali ni Tete sio kidogo, dah pdf litakalokuja naomba Mungu liwe refu Sana majina yetu yakaonekane
Unaota au🤣😂😂 hamna saili tukutane mwaka mwingine wa fedhaWale wa MDAs na LGAs naomba muanze kujiandaa na saili maana mwezi wa tatu sio mbali
usahili unaofuata ni mwezi wa tisa tena ni wapishi🤣🤣Unaota au🤣😂😂 hamna saili tukutane mwaka mwingine wa fedha
Mkuu tunza hii post nasema ivi mwezi wa pili mwishoni majina yanatoka Kisha week ya kwanza ya mwezi wa tatu watu wanafanya saili Kisha mwezi wa tano, sita na Saba watu wanaingia kaziniUnaota au🤣😂😂 hamna saili tukutane mwaka mwingine wa fedha
Apo kwanza ncheke mkuu hii imeenda waalimu ndio siasa mkuu CCM kidumu chama cha mapinduzi!!Mkuu tunza hii post nasema ivi mwezi wa pili mwishoni majina yanatoka Kisha week ya kwanza ya mwezi wa tatu watu wanafanya saili Kisha mwezi wa tano, sita na Saba watu wanaingia kazini
Wa 9 hakutakuwa na usaili tutakuwa busy kumchagua mkuu wa Nchiusahili unaofuata ni mwezi wa tisa tena ni wapishi🤣🤣
Sure..Mkuu tunza hii post nasema ivi mwezi wa pili mwishoni majina yanatoka Kisha week ya kwanza ya mwezi wa tatu watu wanafanya saili Kisha mwezi wa tano, sita na Saba watu wanaingia kazini
Hawa Utumishi( PSRS) sio wakuamini 100% ....Sure..
Kikubwa tujiandaeni wakianza kuzifungua zitakua ni mfukulizo mtu ukiwa umejiandaa vyema inakusaidia..
Hawa Utumishi( PSRS) sio wakuamini 100% ....
Budget ya 2024/2025 Bungeni tena Naibu Waziri alizungumza mwaka huu Kitengo cha Account na Procument tunaajiri wengi sana ....Ukija ground huku tunaenda mwisho wa mwaka wa Budget nini kinaendelea kwa hawa watumishi wapya walio approve mbele ya Bunge hata 1% hazifiki ndo Ujue drama za hawa Utumishi(PSRS) zipoje..
Wanachoweza Wao ni Kuingiza Watoto wao kazini kwa kupitia waliojitolea kimyakimya maisha yanaenda ndo Taifa lilipofikia Sasa ........
Ila waliopambana kwa nguvu kutoka hatua written mpaka Oral unaambiwa unakaa mwaka mmoja database...
Haya Mateso wanayopitisha watoto tusio na connection ni Makubwa mno
Mkuu tuliza makasiriko fikiri kabla ya kuongea mkuu. Hao watoto kila mwaka wanao kwa ma elfu ya ajira nchini, watoto wao ni mainjinia wote, maafisa tawala wote, maafisa ustawi wa jamii, wamesomea kila kitu??Hawa Utumishi( PSRS) sio wakuamini 100% ....
Budget ya 2024/2025 Bungeni tena Naibu Waziri alizungumza mwaka huu Kitengo cha Account na Procument tunaajiri wengi sana ....Ukija ground huku tunaenda mwisho wa mwaka wa Budget nini kinaendelea kwa hawa watumishi wapya walio approve mbele ya Bunge hata 1% hazifiki ndo Ujue drama za hawa Utumishi(PSRS) zipoje..
Wanachoweza Wao ni Kuingiza Watoto wao kazini kwa kupitia waliojitolea kimyakimya maisha yanaenda ndo Taifa lilipofikia Sasa ........
Ila waliopambana kwa nguvu kutoka hatua written mpaka Oral unaambiwa unakaa mwaka mmoja database...
Haya Mateso wanayopitisha watoto tusio na connection ni Makubwa mno
Kiongozi ngoja ninyamaze....kunasiku utaelewa kwnn nimeongea hivyo ...Mkuu tuliza makasiriko fikiri kabla ya kuongea mkuu. Hao watoto kila mwaka wanao kwa ma elfu ya ajira nchini, watoto wao ni mainjinia wote, maafisa tawala wote, maafisa ustawi wa jamii, wamesomea kila kitu??
Jiandae vizur wenzio wanalamba asali kila kukicha bila kujitolea bila connection kwa 1st pdf toka afanye usail.
Kwanza umesomea nini na level ipi mkuu??
😀😀😀....Mnavyoona wabunge wanapiga kelele kipaumbele wanajitolea unazani polojo zile wanazoongea wakat wanatumwa....😆😆 mkuu sio kila kinachozungumzwa bungeni kina enda into fruition. Hapo walaumu serikali, PSRS wao ni kupokea vibali na kutafuta talents basi.