ANahitaji mapumziko huyu mzee. Serekali ijiandae kibebeshwa furushi la lawama hata kama ni hali ya ugonjwa au uchovu umesababisha mzee kuanguka.
Ccm na serekali yenu hili mnalo.
Ahsanteni kwa update za hii case. Japo hii ya leo haijakaa kwenye mtiririko kama alivyofanya jana mkuu Manyanza.
Nitoe ombi kesho kwa wale mtakaokuwa mnatoa update muwe mnaiweka pale ukurusa wa kwanza na post namba 1.
Ahsanteni kwa leo muwe na siku njema
Russia is burning!!! Ukraine kapeleka moto mkali, russia inawaka. Inasemekana UK drone made zimesababisha maafa makubwa huko moscow na mikoani.
So far Russia nae anafikiwa ndani kabisa. Refinary kibao tu zimelipuliwa na drones. Jana tu zimerushwa drones 600 zipo zilizokuwa intercepted lakini...
Hili unalolizungumzia lilikuwepo zamani sana. Nadhani baada ya biashara ya vyuma chakavu kushamiri, haya magari chakavu yalikatwa katwa na kuuzwa. Kwa sasa sasa haya magari hayapo kabisa.
Ila pesa yetu haina thamani kabisa. Kuna mdau m1 aliwahi kusema inawezekanaje pesa ya mwisho juu kabisa10,000 haitoshi kwa matumizi ya siku nzima?
Ukiagiza mchemsho tu wa samaki inaisha na unakosa hata hela ya kimiminika. Kama maji , soda au juice.
Hii pesayetu (tshs) ni takatakata kabisa.
Kwa mujibu wa historia, Mwalimu Nyerere alianzisha mwenge baada ya kuambiwa afanye hivyo na Wazee wa dar es salaam wakiongozwa na mzee Faraje Gonzwe. Ukipita pita kule kwenye jukwaa la historia kuna uzi unaelezea hii kadhia ya kuanzishwa kwa mwenge.
100% upo sahihi. Ccm wameamua kuiharibu nchi kwa kushindwa kujibu hoja za chadema na wananchi wanaotaka mabadiliko.
Ccm na serekali yake inadhamini vikundi vya kigaidi. Ref ni Mbwa mwitu na wale wengine wanaongozwa na sherkhe Mwaipopo.
Kama wawakilishi wa nchi za magharibi waliona zile clipp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.