vyote vitatu, yaani kuwa na wabunge wengi wenye elimu ndogo ju ya kazi ya mbunge.
2 bunge kubeba ajenda za vyama badala ya ajenda za kitaifa.
3 bunge kuwa na viongozi waliopwaya kwenye nafasi zao
mimi nakubaliana na wewe,ila nashauri tuanze na katiba.kwa mtu yeyote mwenye mapenzi na taifa letu aiunge mkono rasimu ya katiba iliyotolewa na tume ya jaji warioba.inashangaza kundi fulani wanaipinga sana rasimu ya katiba ya warioba haohao wanakua wakwanza kuibua na kulalamikia matatizo...
alichosema ni kweli kabisa,ndio maana serikali yetu iliweka watu wa kuhakiki mchakato mzima kuanzia uchimbaji,upakiaji,upimaji wa kiasi cha madini yaliyomo kwenye makenika hadi usafirishaji.na utaratibu huo utumika kwa kutumia nyaraka maalum zinzo sainiwa napande zote mbili .ushauri wangu...
ilifaa iandikwe hivi serikali yakabidhi magari ya kubebea wagonjwa.maana hizo ni fedha za serikali mara nyingi misaada utolewa na wafadhili bali serikali utimiza wajibu wake kwa wananchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.