1.Ufisadi uko controlled
2.wafanyakazi hewa wako controlled
3 .wezi bandalini wako controlled
4.madawati yametolewa
5.barabara zinajengwa
6.vitanda mahospitali vimetolewa
7.reli ya umeme inajengwa
8.flyover inajengwa
9.mabweni UDSM yamejengwa
10.ATCL imefufuliwa kwa manunuzi ya ndenge MPYA kabisa!
11. Elimu bure imetolewa hadi form four
12.mikopo ya elimu ya juu inatolewa
Niseme nini basi! Mda hautoshi na wino utaisha ..fantastic!!!! Say bravo to our president!!!
Mh Rais kafanya hayo kwa mda mchache hivi!! Lakini wapinzani wanaona mh rais kwa kufanya hayo yote ni kuvunja katiba ya nchi!!
Inashangaza sana!!! Mafisadi walipokuwa wanaiba hadharani ,ATCL ilipokuwa imekufa viongozi waliyokuwepo hawakuwa wanavunja katiba!Kwa wapinzani wetu Leo wanaona maendeleo yanayoletw na Bulldozer wetu JPM ni kuvunja katiba!!! This is more than ujinga!!
Amka mtanzania!! Acha kusikiliza upinzani uchwara wasiokuwa na hoja Bali kumsingizia kipenzi chetu JPM!! Wanatumia uvivu wetu na kutokujua kwetu kutulagayi!! Wiongozi wao ni matajiri wana mipesa huko mabenki lakini watoto wetu ni wakudeki Barbara wakubwa hao wanapopita!!! Wamejenga mihoteli lakini watoto wa maskini wanawalagayi kwa kuwapa tupesa ili wanywe viroba na sikuwasaidia waende shule au kujiendeleza kielimu au kimaisha!! Vijana wetu walipewa vi bodaboda na ndiyo hizo zimemaliza wanaume ambao ndiyo taifa LA kesho!!vijana wa kike kuna hatari kutokuolewa maana vijana wameharibiwa na viroba na wengine kufa kwa kuendesha bodahoda za zawadi huku wakiwa wamevuta bangi na kunywa viroba!!
Amka mtanzania!! Tanzania kwanza vyama baadae