Huyu Godfrey Ngoyai Lowassa ni kijana wa Edward Ngoyai Lowassa?

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,487
Screenshot_20170429-222701.png


Katika majina ya vyeti feki yaliyotolewa, jina namba 433 linasomeka Godfrey Ngoyai Lowassa, huyu ni mtoto wa raisi wa mioyo ya watanzania ama ni ndugu yake?
 
Born 26 August 1953 (age 63)
Arusha, Tanganyika
Nationality Tanzanian
Political party
CHADEMA (2015–)
CCM (1977–2015)
Spouse(s) Regina
Children 5
Adda
Pamela
Fred
Bernard
Richard
Alma mater
University of Dar es Salaam
University of Bath (MSc)
Website Official facebook profile
 
Born 26 August 1953 (age 63)
Arusha, Tanganyika
Nationality Tanzanian
Political party
CHADEMA (2015–)
CCM (1977–2015)
Spouse(s) Regina
Children 5
Adda
Pamela
Fred
Bernard
Richard
Alma mater
University of Dar es Salaam
University of Bath (MSc)
Website Official facebook profile
Mkuu naona umeanza kuwa na busara, nini kimekutokea mkuu
 
[QUOTE="kashande, post: 20909396, member: 381681"lands uwa hivyo kwa maana kuna nawafahamu wengi lakini majina hayajatoka. Naona wamechambua chambua tu .[/QUOTE]
Hao ambao majina hayajatoka wameshaondoka tayari labda wameresign mapema.
 
Back
Top Bottom