Recent content by zimwilachi

  1. Z

    Taja Maprofesa wenye utata

    PROF. JOYCE NDALICHAKO ni mashaka matupu!!!
  2. Z

    Saudi Arabia na Vatican city

    Ungefananisha hivi ningekuona kidogo unafikirisha kichwa chako: ITALIA VS SAUDI ARABIA AU VATICAN CITY VS MAKKAH/MADINA NOTE: Makkah na Madinah ndio sehemu takatifu na sio Saudi Arabia NOTE2: Makkah na Madina haparuhusiwi kuingia kafiri yoyote mfano wako wewe mtoa mada
  3. Z

    Safari ya Uarabuni ya mfanyakazi wa ndani

    Chuki ikizidi inampunguzia mtu uwezo wa kufikiri!
  4. Z

    Ukumbusho: Mwezi mtukufu wa Ramadhani umekalibia

    kuna hujapita msdrassa hapa unatoka kappa!
  5. Z

    Waijuao Tanga kiundani

    Mkuu kipumbwi hilo jina lako ni nyumbani kwetu nilipozaliwa naona ni vizuri tukafahamiana zaidi if you dont mind.
  6. Z

    Mtatiro akiambatana na viongozi wengine wa CUF watinga Kituo cha Polisi kuhoji kuvamiwa kwao

    Sioni hata sura ya CUF ila naona sura za KICHADEMA.
  7. Z

    Jiografia ya mkoa wa Pwani (physical security) siyo nzuri kiusalama

    Sio sababu! Arusha jiji nayo imezungukwa kila upande na Arumeru lakini mbona mambo shwari. Damu za Masheikh wanaoteseka mikononi mwa Polisi zitalipwa kwa damu za haohao Polisi.
  8. Z

    Msaada O-level physics syllabus soft copy

    Salaam! Kwa mwenye nayo msaada please. Shukran
  9. Z

    Lowassa turudishie maji yetu ya mto Themi

    Kwahiyo wewe unaona ni sawa mto kukaushwa? Halafu acha kukariri maisha sio kila anaekaa Ungalimited ni muhuni wapo Maproffessor wapetokea maeneo hayo na inakubidi uwaombe radhi wakazi wa Ungalimited. Lowasa turudishie wakazi wa Arusha maji ya mto Themi.
  10. Z

    Lowassa turudishie maji yetu ya mto Themi

    Mwambie huyo kijana sijui ni mkazi wa Arusha ipi labda kule Olmotoni.
  11. Z

    Lowassa turudishie maji yetu ya mto Themi

    Miaka ya sitini, sidhani kama ni kweli ila nijuavyo mimi kipindi nipo shule ya msingi Lemara na baadae nikahamia shule ya msingi Themi na hii ni mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 mto huu ulikua umefurika maji mengi sana mpaka kufikia maji kuingia kwenye maeneo ya watu msimu...
Back
Top Bottom