Kuna watu wengi wamekuwa wakiita Prof. so and so kirahisi sana. Wengine kwa sababu walipewa nafasi ya kuwa honorary lecturer kwenye baadhi ya vyuo, si kwa sababu wana academic credentials zile za distinction bali kwa sababu wanatoka kwenye huku kwenye tropical disease lakini wapo ambao kazi yao ni ku coordinate uwepo wa wanafunzi wa elective waliokuja huku nchi za tropics, kwa hiyo hawana vitu special.
Lakini wako wengine wa mitishamba kama Maji Marefu.
MOJA:
Prof. Mohamed Y. Janabi: Huyu ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Ni moja wa Wakurugenzi wazuri sana. Lakini ideally uProfesa wake unapiga kelele na ulishawahi pigiwa kelele huko nyuma. Lakini pia kiuhalisia yeye si physician na wala si traditional cardiologist. Kinachomfanya aonekane kuwa cardiologist labda ni degree ya kwanza ya MD, otherwise kafanya Msc na baadaye PhD kwenye mambo ya mafuta ya mwili akiwa huko Japan. Angekuwa degree ya kwanza alisomea nursing, sijui leo kama angeitwa Cardiologist. Janabi hata credentials za kufundisha Muhimbili Chuo hana, ndio maana hakuwahi fanikiwa kupata nafasi ya ualimu wa hicho chuo pamoja na kwamba yeye ni lobbyist mzuri.
uProfessor wake si wa Academic hasa, nadhani yeye ni mwalimu wa heshima wa chuo kikuu cha south carolina na wao ukiwa mwalimu tu wanakuita Profesa. Tena anakuwa assistant professor na sio associate professor. Pamoja na hayo yote anafanya vizuri sana JKCI.
MBILI:
Prof. Hubert Kairuki, Huyu ni mwanzilishi wa Mikocheni Mission Hospital. Uprofessor wake haukuwa ni academic. Inasemwa siku zote kwamba aliupata kwa ku chair scientific meeting akiwa nje, kisha akaja nao kwenye bag Tanzania.
TATU: