Waijuao Tanga kiundani

Waijuao Tanga kiundani

Swimming pool-Mkonge hotel patakufaa zaidi kuliko Tanga Beach hotel kweni swimming yao ni ya watoto na wadada wanaouza sura ila ya Mkonge hotel ni kwa ajili ya kuogelea na kureflesh.

Pia waweza ingia beach ya Waswahili ambayo inanoga zaidi ama ya wahindi,bei haizidi buku 3000.

Kama self ride ipo na muda wa kutosha basi vuka Pangani.

Club Tanga city lounge,Live Band Nyumbani Hotel au hata Tanga Beach hotel. Wadada wauza chini pia wengi tanga,japo wenyeji tumetulia tu.

Laki moja inatosha kulala hotel nzuri,kula na kunywa,hata blanket chapa mtu pia unapata!!
Mhhhh unanishawishi vibaya ww jamaa
 
Mkuu kipumbwi hilo jina lako ni nyumbani kwetu nilipozaliwa naona ni vizuri tukafahamiana zaidi if you dont mind.
 
H

Hahaha,kuna wadau wanahisigi ni tusi,hawajui umuhimu wa Kipumbwi kwemapinduzi ya Zanzibar,hawajui ni rasi adhimu.

Mkuu ile sembe ilipomwagika kule hukuambulia hata kilo 2?! Hata wajomba na mashangazi?! Makonda anadili na Dar,kipumbwi haipo dar!!
😀😀😀
 
Swimming pool-Mkonge hotel patakufaa zaidi kuliko Tanga Beach hotel kweni swimming yao ni ya watoto na wadada wanaouza sura ila ya Mkonge hotel ni kwa ajili ya kuogelea na kureflesh.

Pia waweza ingia beach ya Waswahili ambayo inanoga zaidi ama ya wahindi,bei haizidi buku 3000.

Kama self ride ipo na muda wa kutosha basi vuka Pangani.

Club Tanga city lounge,Live Band Nyumbani Hotel au hata Tanga Beach hotel. Wadada wauza chini pia wengi tanga,japo wenyeji tumetulia tu.

Laki moja inatosha kulala hotel nzuri,kula na kunywa,hata blanket chapa mtu pia unapata!!
Mdau mwenyew
 
Back
Top Bottom