Ninacho Amini mm Ugaidi ni Itiqad ya Mtu anaweza akawa ni Muislam /Mkristo hakuna dini inayofungamana na Fikra hizi za Kigaidi
Kwamfano Uislam ni dini ambayo iko mbali na Fikra za Kigaida sema watu wengi hawafahamu Mafundisho sahihi ya Uislam wao wanawaangalia Makundi Potezu kama Alshabaab , Boko Haram & ISIS hayo Makundi yako mbali na Mafundisho ya kiislam haya ni makundi ya watu wahuni na Waovu wanaofanya Ufisadi katika Ardhi kwasababu ya Ujinga walionao hawaja Soma Dini ni watu wajinga Hawana Hata Wanachuoni ( Islamic Scholars) wanao waunga mkono Bali hawa ndio wanaotoa Image Mbaya ya Uislam lakini Uislam uko Mbali kabisa na Makundi hayo
Mfano Mwingine Kule Africa ya Kati kuna kikundi Kinaitwa ANT-BARAKA hiki ni kikundi cha Kigaidi kinacho endeshwa na Wakristo Je kwakuchukulia Matendo yanayofanywa na Ant-Baraka na sisi tuseme Ukristo ni Dini ya Kigaidi?