Recent content by Zemu

  1. Zemu

    Waziri Mkuu awaonya DC na DED 'wanaorogana'

    Sielewi viongozi hawa wanatupeleka wapi. JPM tumbua tu
  2. Zemu

    RC Hapi: Mimi ni mtu hatari, usiniudhi, usinichezee!

    Kila jambo lina wakatu wake. Wan wa israel walipita jangwani miaka arobaini na wakaingia nchi ya ahadi yenye maziwa na asali.....hata ukiwa baharini wimbi likija lipishe usishindane nalo litakuua.
  3. Zemu

    Weeder mashine ya kupalia mazao shambani inauzwa

    Mkuu mashine zipo bado?
  4. Zemu

    Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

    tipoooooooooooooooo
  5. Zemu

    Makonda: Mimi sio mwanasiasa, sitafuti sifa za kijinga

    kule uvccm alitafuta nini??
  6. Zemu

    Mwenye taarifa ya chanjo ya homa ya manjano

    Aksante kwa taarifa, mimi sijawahi kuchoma hio chanjo na sika hata hicho kitabu cha njano, je naweza pata hio huduma hapo mnazi mmoja kila siku yeyote na ni sh ngapi kwa ujumla, niko morogoro nadio maana nataka nijue nisije kurupuka tu huku kumbe kuna siku maalum za kuchoma chanjo.
  7. Zemu

    Mwenye taarifa ya chanjo ya homa ya manjano

    Unazikumbuka maana hapo mnazi mmoja unaweza ukakuta bonge la foleni
  8. Zemu

    Mwenye taarifa ya chanjo ya homa ya manjano

    Habari wakuu, Mwenye taarifa za upatikanaji wa chanjo ya homa ya manjano, gharama yake na siku inayotolewa ni siku gani?
  9. Zemu

    Chanjo ya homa ya manjano inahitajika

    Mkuu ile chanjo ya homa ya manjano ulipata, maana mimi ndio nataka niende. Ni sh ngapi na wanatoa siku zote??
  10. Zemu

    Nanunua Suzuki carry nina mil 4

    Kwa pesa hio utapata mkweche kaka sio gari la maana, carry bichwa kubwa ni kuanzia 6M.
  11. Zemu

    Wadau mbalimbali wa siasa na elimu wapinga Magufuli kuzuia mikutano ya kisiasa

    Majipu yameisha kumebakia "nakuteua nakutengua"
  12. Zemu

    Hatimaye Dk. Juma Mwaka ajisalimisha Polisi

    Nafikiri inabidi nchi hii iendeshwe kwa kutmia sheria na kanuni, kuna wimbi kubwa la watu wanaojiita madaktari wa tiba asili, wameawasaidia watu lakini nje ya taratibu na kanuni za tiba.
  13. Zemu

    TV1 Kurusha Live ligi kuu ya Uingereza(EPL)

    Itakuwa poa, kama wanaweza kuonyesha mechi anagalau 3 kwa siku zinazoonyeshwa muda tofauti itakuwa safi.
Back
Top Bottom