Sheria ya Makosa ya Mtandao Rwanda: Ukichora kibonzo cha kumdhalilisha Rais unafungwa miaka 7

Kuanzia sasa ye yote atakayechora kibonzo cha kiongozi wa serikali atatozwa faini ya dola za kimarekani 1,500 au kukabiliana na kifungo cha miaka miwili jela. Je Tanzania tutaiga ili kuwalinda viongozi wetu wasidhalilishwe?
Siku zote huwaga tunaiga mambo ya kijinga... Hapo naona kichaa amefurahi sana...
tapatalk_1533536871355.jpg
tapatalk_1506330087036.jpeg
tapatalk_1537310880381.jpeg
 
Ila huyu masud katuni zake za sasa amezidi kukipondaponda kile kichwa,,,ningekua hata mm muhusika ningechukia,sio kwa kichwa na kidevu kile
 
Duh huwaga siwapatii picha wakiwaga kwenye kampeni wanavyo nyenyeke.

wakipata sasa. .( . .. . . . . .)
 
Sheria mpya ya makosa ya jinai imeanza kutumika Rwanda ambapo miongoni mwa makosa ya jinai ni kudhalilisha Viongozi wa Serikali kwa kutumia maandishi au vibonzo, inaelezwa kosa la kumdhalilisha Rais wa nchi hiyo mhusika atahukumiwa hadi miaka 7 jela na faini.

=====

The Rwandan media has denounced a new law criminalizing the publication of satire and political cartoons of politicians.

The law that came into force on Thursday has generated a lot of controversy in the country’s press.

The new law calls for a two-year prison sentence and a fine of more than a thousand dollars for any offender under the Act.

According to media professionals, this is a huge blow to the profession and will greatly hamper their work.

Media actors equally denounced the sanctions provided for and consider them too harsh.

These restrictions on freedom of expression have been criticised by some human rights organisations who say the lack of press freedom has forced many Rwandan journalists to flee the country.

The latter fear reprisals from the authorities, often suspected in cases of disappearances and imprisonment of journalists.

Agencies
Duh..... tena Rwanda kwa rafiki yake,,, tayari tujiandae tu Bunge kuipitisha "nathani, kipanya....." kaeni chonjo
 
Nchi kama Rwanda, Uganda, Burundi na Tanzania kwa sasa haziongozwi kwa sheria kwa maana ya Legistlations ila tuna Presidential Decrees.

Hii yote maana yake ni kwamba kwa kuwa uongozi ni KIPAWA na sisi kama sisi hatujachagua watu wenye vipawa, basi matokeo yake ndio hayo. Hatuna wa kulaumu.

Mtu hata akikuchora, say,. Una sikio moja na mdomo uliyopinda na kitambi kama mtungi, how does that affect you? Tuna watawala ambao wana akili za kitoto sana na ndio inawapelekea wawe madikteta na kupigana kufia madarakani. Very hopeless.
 
Mbona naona kichwa cha habari na tafsiri yako ya kiswahili vinatofautiana na maelezo ya kiingereza?
Juu unasema miaka 7 lakini maelezo ya chini ya kiingereza yanasema miaka 2?
Au mimi sijasoma vizuri?
 
Sheria mpya ya makosa ya jinai imeanza kutumika Rwanda ambapo miongoni mwa makosa ya jinai ni kudhalilisha Viongozi wa Serikali kwa kutumia maandishi au vibonzo, inaelezwa kosa la kumdhalilisha Rais wa nchi hiyo mhusika atahukumiwa hadi miaka 7 jela na faini.

=====

The Rwandan media has denounced a new law criminalizing the publication of satire and political cartoons of politicians.

The law that came into force on Thursday has generated a lot of controversy in the country’s press.

The new law calls for a two-year prison sentence and a fine of more than a thousand dollars for any offender under the Act.

According to media professionals, this is a huge blow to the profession and will greatly hamper their work.

Media actors equally denounced the sanctions provided for and consider them too harsh.

These restrictions on freedom of expression have been criticised by some human rights organisations who say the lack of press freedom has forced many Rwandan journalists to flee the country.

The latter fear reprisals from the authorities, often suspected in cases of disappearances and imprisonment of journalists.

Agencies

Mkuu hii miaka 7 mbona sijaiona kwenye taarifa yako ya kizungu!? Kizungu kinazungumzia kifungo cha 2 years .
 
Back
Top Bottom