RC Hapi: Mimi ni mtu hatari, usiniudhi, usinichezee!

Hicho ndio kichwa cha Saint Thomas pale Gongo la mboto.Ni matokeo ya elimu za kuungaunga.....No more. ..
 
Is very unfortunate wazee wa aina ya Jaji Samata walio tayari kusema, kukemea na kushauri juu ya tabia na maneno kama haya bila woga ni kama kwa sasa hawapo, natamani viongozi wakumbuke unaokua kwenye nafasi hizo na mamlaka hayo hata ukiongea jambo la kijinga bado watu watacheka na kukupigia makofi kila mtu kwa sababu yake ila siku nafasi na mamlaka yakiondolewa ndio wataelewa somo vizuri.
Hosni Mubarak alikuwa anashinda uchaguzi kwa zaidi ya90%. Waliompinga tena hadharani ni zaidi ya 95%. Si kila anayekushangilia anakupenda.
 
Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.

Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.

Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
I pit for faculty of law lecturer at UDSM to produce such kind of stUdent
 
Hiyo ndiyo matunda ya semina elekezi kwa viongozi wetu
Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.

Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.

Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
 
Tatizo la viongozi kuwa wao ndiyo mapolisi na mahakimu wakati huo huo. Hata rais huwa haagizi hivyo huwa anaagiza uchunguzi na hatua kuchukuliwa. Sasa una muweka mtu ndani baada ya kusikiliza malalamiko ya upande mmoja, je baadaye ikionekana uliye mweka ndani hana kosa utamfidiaje. Wakuu wa wilaya na mikoa wengi wamekuwa madikteta hawafuati sheria na taratibu kabisa
Pamoja na maneno mazuri ya Kangi Lugola kuwakataza hizo tabia bado wanamdharau
 
Mkuu huko kwenye kufa wao hawafikirii maana wanajiona ni mungu wa pili
Watayatamka sasa lakini kuna siku yatatamkwa na wengine yakiwalenga wao lakini watataka kuomba msamaha lakini watakuwa wamechelewa kwani adhabu ya Mungu hapa hapa duniani itakuwa imetimia na watakuwa bado wanatafakari na kufikiria pale watakapokufa nini hasa kitatokea kwao kama Mungu amewahukumu hapa Duniani kwa adhabu kubwa hivi je Baada ya kufa itakuwaje?
 
Wakamuulize mugabe anaishi utadhani matonya na sasa miwani yake ndiyo inayo onekana kuliko sura
Nimeiangalia hiyo clip nimeona aibu yule mama alivyokuwa akizomewa na mijana mike ambayo yawezekana kuwa anaizaa. Kila alipojaribu kujitetea, hakusikilizwa.
Swali mbona Mgambo waliotumwa kuvunja hawakufika kutoa ushahidi. Kwa nini hao viongozi wa CCm waliruhusiwa kuongea wakati mkutano haukuwa wa chama? Anyway mlalamikaji atapewa laki tano sijui zinatoka fungu lipi? Ipo siku. Wamuulize Kenneth Kaunda na marehemu Chiluba mchezo unavyoweza kugeuka. Hata Rais wa Misri alidhani atafia madarakani, ashukuru katolewa jela.
 
Kila jambo lina wakatu wake. Wan wa israel walipita jangwani miaka arobaini na wakaingia nchi ya ahadi yenye maziwa na asali.....hata ukiwa baharini wimbi likija lipishe usishindane nalo litakuua.
 
kuna mahala nasikia wamepiga marufu watumishi kuvaa suti kwa siku za kawaida ila kwa matukio maalumu. Hiin anayo vipi inaukweli?
 
Huy
Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.

Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.

Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
Huyo dogo bwa.bwa.
 
Hata mimi baada ya kusikia watu wanongea sana kuhusu hapi nimeitafuta mpaka nikaona!! RC Hana kosa lolote maana mzee kuelezea ila ilipofika madam kujielezea kaanza kwa kusema mimi Ni chadema halafu bla bla bla.. kwa kawaida yule mama anawajibishwa kwa sababu yeye ndo suspected katika ubomoaji wa nyumba. Pili Ni yeye kiongozi wa mtaa aliyekuwepo wakati wa ubomoaji tatu kama umemsikia vizuri RC kabla ya yule mama ameita viongozi wote wa mkoa amewauliza maswali wakajibu!! Yule mama alipoulizwa kwanini nyumba ilibomolewa na kwa nini hukuhoji?? Akamalizia kwa kusema Iringa hoyeeeee!!
My view
Hapi kazi anayofanya mara nyingi watu mnachukulia kwamba Ni sifa but nikatika kusaidia wananchi na yeye sio Malaika asikosee. Kama amemfunga bila hatia vitajulikana alipwe na fidia!!
NB: uongozi katika mkoa unatakiwa uwe kama cheni kitakachofanyika kwenye Kata yako unatakiwa uwe wa kwanza kuhoji ili masaibu kama haya yasiwakute
 
Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.

Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.

Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
MKUU WAMKOA WA DODOMA.jpg
 
Mbona hivyo tena Mkuu? Wewe unaunga mkono kuvunjiwa nyumba? au unapinga alichosema RC? Au unapinga vyote?
Kabla ya kuhitimisha kuwa alivunjiwa nyumba na MWENYEKITI,tujiulize kwanza,

Je,huyo mwenyekiti alivunja yeye mwenyewe kwa mikono yake au alitumia migambo?

Je,mwenyekiti ana mamlaka ya kuvunja nyumba ya mtu kwa sababu yoyote ile?

Je,ni muendelezo wa siasa za kuonea na kunyong'onyeza upinzani kwa nguvu ya dola?
 
Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.

Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.

Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?

NDUGU YANGU PETRO E. MSELEWA, HIYO NDIYO TABIA YA KILE KINACHOITWA "ULEVI WA MADARAKA". WAHENGA HAWAKUKOSEA WALIPOSEMA "UKITAKA KUJUA TABIA HALISI YA MTU ACHA APATE MOJAWAPO YA VITU VIWILI; NAVYO NI:-

1. MADARAKA

2. FEDHA
 
Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa,mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa na Diwani wa Viti Maalum huko Iringa kwa tiketi ya CHADEMA.

Kadiri ya clip ya video niliyoitazama kwa MillardAyo,kuna Mzee mmoja alilalamika kwa RC Hapi kuwa amebomolewa nyumba yake kwa amri ya Mwenyekiti na Diwani huyo wa CHADEMA. Mlalamikaji akajitambulisha kama Mwenyekiti wa Tawi la CCM.Mwanamama mhusika alijitetea bila mafanikio. Akakamatwa na askari wa kike wa JWTZ baada ya kukosekana kwa askari wa kike wa Polisi.

Kimsingi,maneno ya aina hiyo yamekuwa ya kawaida kwa Wakuu wa mikoa na wilaya nchini. Yana tija gani? Yaendelee?
Kama Mhe. Hapi ni mwanasheria wa kusomea, akapewa mitihani akashinda, akaenda law school akahitimu, taifa hili lina bahati mbaya sana. Imani yangu mtu akisoma sheria, anaweza asijue mambo mengine lakini haki za binadamu ni lazima. Taaluma ya sheria imejikita kwa kiwango kikubwa katika haki za binadamu. Nilimsikia Mhe. akimsema huyo mama, mwenyekiti wa mtaa na diwani kuwa " mwanamke huyu ana roho mbayaa!" na kwa sauti ya dharau iliyopitiliza. Nilimshangaa, sana. Kumbe ni mwanasheria???
 
Back
Top Bottom