Chanjo ya homa ya manjano inahitajika

Chanjo ya homa ya manjano inahitajika

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
1,603
Reaction score
871
Habari zenu wadau

Naombeni msaada maana nataka nisafiri kwenda nje ya Tanzania. Nataka nijue wapi wanatoa chanjo ya homa ya manjano na gharama zao pia nataka kujua inatakiwa ifanyike siku ngapi kabla ya kusafiri.
 
Nenda hospitali ya serkali/kituo cha afya watasema kama ipo au la. Gharama yake inaweza kufika 40,000/= kwani ukienda kituo cha afya wanaweza kukwambia haipo na inabidi ukanunue duka la madawa.

Kamakumbukmbu zangu ziko vizuri wanashauri wiki tatu kabla ya kusafiri.
 
Asante kwa msaada. Inakuaje sasa kama nataka nisafiri within a week
 
Kama uko Dar nenda hospitali ya Mnazi mmoja... Sio hospitali zote huwa na huduma hiyo ya chanjo... Gharama ni elfu 15...

Inatakiwa uchanjwe siku kumi kabla ya safari... Huduma hutolewa siku ya Jumanne na Ijumaa..!! Kila la kheri...!!
 
Asante kwa msaada, mimi nasafiri jumamosi hapo nitasaidiwaje?
 
Nenda kachanjwe ila umuombe nesi aback date kwenye kadi. Ni precaution tu haina neno. Mara ya mwisho nikichanjwa mnazi mmoja hospital nililipa 5,000/-

hiyo 15,000/- inayoyajwa hapa ni ile ya magumashi, kama unahaka kadi tu unaletewa hata airport

Asante ndugu, je ni kweli wanatoa huduma hiyo jumanne na ijumaa?
 
Ni kweli jumanne na ijumaa, na bei ni elfu 15. Ila kuna ya ya magumashi as you know siku hizi hiyo homa haipo, kinachotakiwa ni kikadi tu. Kadi ukienda pale mnazi mmoja kuna foleni kiaina but kuna mtu huwa anatoa cheti bila kupima kwa elfu kumi.
 
Hii chanjo imekua adimu sana. kila nikienda ni ahadi tu nami nahitaji kusafiri karibuni. kesho nitaenda pale mnazi kwa mara ya mwisho, nisipoikuta nachukua kadi tu kwa wadau kwa elfu 15. Nchi ya Viwanda!!
 
Mkuu ile chanjo ya homa ya manjano ulipata, maana mimi ndio nataka niende. Ni sh ngapi na wanatoa siku zote??
 
nilipata kihalali kwa 50,000/=. ila naskia imepungua tena, nahisi 20,000/= kwa sasa. kila la heri
 
Mkuu ile chanjo ya homa ya manjano ulipata, maana mimi ndio nataka niende. Ni sh ngapi na wanatoa siku zote??
Mkuu ile chanjo ya manjano ulipata? Maana na mimi ndio nataka niende.
 
Back
Top Bottom