mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,065
- 132,519
Sawa asilimia kubwa ya hawa madokta ni wapigaji!Yuko wapi isiack ndondi naye....Hakuna uhasama Kigwangallah anatimiza wajibu wake.
Hata hizi tv nazo wanawapa SANA airtime hawa madoktaa.....
Lakini bado Kuna ugomvi ambao ni personnel kati hamis na kigwagala.....na hamis kashapata chanzo cha kumkomoa Dr mwaka