Recent content by zege la nyasi

  1. zege la nyasi

    Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

    Tusichanganyane sasa,hivi Yesu atakuja au sisi ndio tunaenda? Nawasilisha...
  2. zege la nyasi

    Je, Azam wamedhamiria kuchukua nafasi ya Simba Klabu Bingwa au wanatuzuga tu?

    Nafikiri Azam wana nafasi ya kuvuna mashabiki wengi kutoka simba kama wakifanya vizuri
  3. zege la nyasi

    Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Kwa dunia hili la androidi unadakwa kirahisi......
  4. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Asenali ndio walichostahili wamejitahidi kucheza mechi sita za mwisho vizuri,wasikate tamaaa tu,arteta amejitahidi ipo siku atafanya zuri zaidi tu endapo akizidi kupata wachezaji bora.
  5. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Manisiti bingwa wa epielo tayari huku sijui kwa masaa ya asenali ze ganaz😂😂😂😂
  6. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bado kuna wananzi wa asenal wanaamini kesho asenal itakuwa bingwa 😂😂😂😂😂 enewei n matumizi sahihi ya uhuru pia..... Katika kauhalisia Kesho matokeo rahisi ni manisiti kushinda na asenali kushinda😂😂😂au manisiti asare na aseno asare/afungwe😂😂😂 Uwezekano mdogo wa wote kufungwa😂😂😂😂....ili mradi tu...
  7. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Naona Shughuli imeshaisha hiii
  8. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hawa toti washamliza sana upara huko awali😂😂😂labda asili iingilie kati
  9. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kushikilia bomba la siti aisee akiwa anataka jambo lake n kazi juu ya kazi
  10. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Umekuwa mgeni na asenali tena?😂😂😂.... Endelea kuamini ikuaminishe maumivu😂😂😂😂 Hii n timu ya kufurahia matukio mengi yasihusisha kubeba ndoo😂 Yaan suala la kombe piga chini aiseee labda itokee tu kama muujiza au siti ipokonywe kombe na fifa😂😂😂... Enewei n maamuz yako ila kwa ratiba ilivyo...
  11. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hivi wodi klass mnaichukuliaje aiseee, wedi klasi ni wakina kroos,kdb,salah,kane,....binafsi natambua wediklasi kama ubora dhahiri katka kuleta matokeo yenye tija pasipo kushindwa kuwa na udumifu Pale asenali labda odegaard tu japo nae kuna kipindi alipoteana na arteta akawa anampumzisha,saka...
  12. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Maoni binafsi hayo lakini uhalisia ndio huu...
  13. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kuna asenali ya jukwaani ya wazee w mapenzi upofu na asenali ya kule wingereza yenye kina kai😂... ANGALIZO Moja ni matokeo yake unaambiwa kabla ya mechi pili matokeo yake baada ya mechiiii😂😂😂😂aloooo usizichanganye utapata kifukutoooo...... Poleni asenali lia lia,arteta kajitahidi ila...
  14. zege la nyasi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Oya pep ndio lisupakompyuta lenyewe
Back
Top Bottom