Mkuuu umejua kutangazaGAMEWEEK 38
Manchester City vs West Ham
CommentatorWelcome to final game of the season, the match that decides who wins the premier league
and the match is about to start let's go
13'Oh my goodness what a volley from Michael Antonio and it's 0-1 Guardiola on the floor, and the Arsenal fans are celebrating around the world at the moment.
28'Are you f*king kidding me right now it's Muhammad kudus and it's 0-2 for west ham.
37'Haaaaaalannnnd oh! Hits the crossbar for the second time this evening.
40'it's Kurt zoumaaaaaaaaaaaaaaa and it's 0-3 what's Moyes cooking..... Guardiola has been rushed to the hospital.
45'And it's a penalty for West Ham and Emerson takes the ball from Antonio and he scores 0-4..... Arsenal are champions at the moment and it's Half time..
Half time: Man City 0 - 4 West Ham, Arsenal 1-0 Everton
NEWS : Arsenal are premier league champions at the moment
And it's the second half
Commentatorit's about to go down and guardiola is back from the hospital
46'It's Phil fodennnnnnnnn pulls one back 1-4.
50'Erling halaaaaaaand with a scorpion kick and it's 2-4 wtf ? Is happening , what pills did guardiola give his PLAYERS from the hospital
55'What a shot from Antonio but it's saved by Ortega and he passes the ball to gvardiol and now to doku And it's Nathan Akeeeeeeeeee with an header 3-4.
89'haaland comes out for Alvarez and Arsenal is winning 2-0 now to Everton..
7+minuites added time
90'A corner for Manchester city, And the Man city Goal keeper is running towards the opponent post and it's ORTEGAAAAA scores And it's 4-4
CommentatorARSENAL'S game has ended If it ends like this Arsenal are champions
90+6A misplaced pass from kudus and Foden takes the advantage and crosses the ball into the box and it's Jeremy DOKUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU to make it 5-4 just at the last minute to break the Heart
of Arsenal fans and it's the final Whistle.. And everyone goes home Happy
Arsenal fans![]()
leo West ham anawafunga 1 bilaHii ndio jumapili Safi kabisa ambayo Arteta na Klopp walikutaba bar wakanywa bia wakalewa wakaamua kumpa pep EPL ....
Everton hawajafungwa miezi mitatuleo West ham anawafunga 1 bila
Arsenal anabeba kombe it was written in the sky
Press conference nzima Arteta anaongelea Westham kumfungaa city ...leo West ham anawafunga 1 bila
Arsenal anabeba kombe it was written in the sky
Lakini haiondoi kuona mazuri yake hasa Kwa kuona ameitoa wapi timu na hapa alipoifikisha"Kutoka kushika nafasi ya 8 mara mbili mfululizo hadi kuingia kugombea Ubingwa, that's big achievement"
Hizi mentality za mashabiki na wachezaji wa Arsenal ndio zinaifanya Arsenal miaka yote ionekane ni mid table team.
Hio kushika nafasi 8 mnatakiwa muichukulie kama accidentally maana mna zaidi ya nusu misimu tokea kuanzishwa kwa Epl mnaingia top4, ila nyinyi msimu wa pili huu mfululizo mnakosa ubingwa kwa uzembe halafu mnaichukulia nafasi ya 8 kama excuse ya kukosa ubingwa.
Mentality hizo angekua nazo Alonso na Bayer Leverkusen asingechukua ubingwa msimu huu tena akiwa Unbiten.
Mbona nyie pamoja na kuwa na Kocha mwenye uzoefu mmeshindwa kufuruka hadi Kocha wenu kuamua kutupa taulo 😜
Kwanza tambua hazishindani timu mbili,"Kutoka kushika nafasi ya 8 mara mbili mfululizo hadi kuingia kugombea Ubingwa, that's big achievement"
Hizi mentality za mashabiki na wachezaji wa Arsenal ndio zinaifanya Arsenal miaka yote ionekane ni mid table team.
Hio kushika nafasi 8 mnatakiwa muichukulie kama accidentally maana mna zaidi ya nusu misimu tokea kuanzishwa kwa Epl mnaingia top4, ila nyinyi msimu wa pili huu mfululizo mnakosa ubingwa kwa uzembe halafu mnaichukulia nafasi ya 8 kama excuse ya kukosa ubingwa.
Mentality hizo angekua nazo Alonso na Bayer Leverkusen asingechukua ubingwa msimu huu tena akiwa Unbiten.
Kwanza tambua hazishindani timu mbili,
Pili, achievement ni a thing done successfully with effort, skill, or courage. (Kwa msaada wa google).
Kwa Arsenal ni ACHIEVEMENT kuwa nafasi ya pili na kutokushuka daraja kama N.Forest. Na ndio maana kuna jedwali la point. Na kila mtu atazawadiwa kulingana na juhudi zake.
Tuje kwa bayern Leverkusen, hiyo ni probability katika kila ligi ambayo kuna timu ni dominant, kuna uwezekano kila baada ya miaka flani apatikane dark horse apindue meza. Question is kwanini hawarudii tena. Jibu ni rahisi hawana sustainable plan mara nyingi ( pesa kumaintain kikosi cha ushindani, staff wenye uwezo n.k).
Sasa Arsenal inajitahidi kuijenga timu endelevu kwa miaka 5 sasa. From 8th to 2nd that's not underperforming bali ki mpira ni ACHIEVEMENT tosha.
Ukitaka kuamini jiulize mbona Leicester haijarudia tena kuubeba, bila kusahau Atletico Madrid, BVB. Hata Alonso nae apewe season ya pili tumjudge.

Achievements kwa misimu miwili mfululizo kuingia top4 na kutoshuka daraja sio? 

Achievements kwa misimu miwili mfululizo kuingia top4 na kutoshuka daraja sio?
Ndio maana nikasema hizi ni mentality za mid table teams, Arsenyo kwa ubora mliokua nao kwa hii misimu miwili mfululizo hamkupaswa misimu yote kumaliza mikono mitupu bila ya kombe lolote.
Yaani misimu yote miwili ya kujisifu kwa ubora wa timu halafu mnamaliza msimu mikono mitupu bila ya Uefa, Epl, FA, Carabao halafu mnajisifia achievment?
Kuingia top4 ni achievment kwa mid table teams, Aston Villa akisema ameachieve kwa kuingia top4 wala hatuwezi kushangaa, ila Arsenal kwa level yenu sasa hivi sio kujisifu na kufurahia top 4, nyinyi kwa hii misimu miwili mlistahili zaidi ya top4.
Hizo mentality za top4 waachieni kina Spurs, Brighton, Villa etc.
Kwa kipindi hiki ambacho Nyumbu, Chelkenge na Livapunda wanajikongoja nyinyi kwa ubora mlionao kwa sasa mlitakiwa kipindi hiki kukitumia vizuri kwa kujaza makombe kwenye kabati lenu.
Wewe unaongea nini ??? Acha maneno tuonyeshe MAJOR TROPHY mliochukua msimu huu ???Kule kwenye uzi wao kumejaa articles ndefu ndefuuuuu za kizungu za copy-paste za kina Manyanza na Grau, kuhusu Klopp kuondoka na Slot kuja. Hata hakuna anayezielewa. Wanaona bora waje huku watukere tu.
Usikaze fuvu.
Tumepambania ubingwa, na makombe, ila tumekosa. Hatujakataa hilo. Ila usijidanganye kwamba hatujafanya vizuri zaidi ya hapo awali. Tunatambua kuwa club iliporomoka na sasa tunatambua kuwa imeanza kusimama tena.
Mentality yetu ni ya kupambania makombe. Haimaniishi kwamba tukiyakosa na tukaangalia mema tuliyofanya basi tumekuwa na mid-table team mentality. Tunabaki na mentality yetu ile ile ila hatuwezi kulia lia. Tutayachukua yale mazuri na kuyafurahia huku tukitaka kuimarika pale tulipokosea na kusonga mbele, ambacho matokeo yetu msimu hadi msimu, yameonesha tunafanya.
Nyie mnazidi kuporomoka. Msimu jana mlifika nafasi ya 3 ila Hamisi na kila shabiki aliona nyie bado hamna lolote. Kwa sasa mmebaki kutumaini msimalize wa 8 au mshinde FA cup ndiyo muingie michuano ya Ulaya, huku mkishukuru majeruhi yamewasaidia kuwapa nafasi madogo, akina Amad na Mainoo.
Sisi na nyie hatufanani hivi karibuni. Si kimafankio uwanjani, si kimentality, si kiclub culture, si kiclub management, si kimvuto, si kwa lolote lile. Tuko juu sana kwenu, na kukosa ubingwa au kombe halibadili hilo kisa tu wewe unataka kuamini hivyo.

Pamoja na ubovu wa timu yetu na uimara wa timu yenu ila linapokuja suala la mafanikio hamuwezi kujilinganisha na sisi. 

Kijana tulia, Una mwaka wa 4 sasa huna MAJOR TROPHY yoyote ileUsikaze fuvu.
Tumepambania ubingwa, na makombe, ila tumekosa. Hatujakataa hilo. Ila usijidanganye kwamba hatujafanya vizuri zaidi ya hapo awali. Tunatambua kuwa club iliporomoka na sasa tunatambua kuwa imeanza kusimama tena.
Mentality yetu ni ya kupambania makombe. Haimaniishi kwamba tukiyakosa na tukaangalia mema tuliyofanya basi tumekuwa na mid-table team mentality. Tunabaki na mentality yetu ile ile ila hatuwezi kulia lia. Tutayachukua yale mazuri na kuyafurahia huku tukitaka kuimarika pale tulipokosea na kusonga mbele, ambacho matokeo yetu msimu hadi msimu, yameonesha tunafanya.
Nyie mnazidi kuporomoka. Msimu jana mlifika nafasi ya 3 ila Hamisi na kila shabiki aliona nyie bado hamna lolote. Kwa sasa mmebaki kutumaini msimalize wa 8 au mshinde FA cup ndiyo muingie michuano ya Ulaya, huku mkishukuru majeruhi yamewasaidia kuwapa nafasi madogo, akina Amad na Mainoo.
Sisi na nyie hatufanani hivi karibuni. Si kimafankio uwanjani, si kimentality, si kiclub culture, si kiclub management, si kimvuto, si kwa lolote lile. Tuko juu sana kwenu, na kukosa ubingwa au kombe halibadili hilo kisa tu wewe unataka kuamini hivyo.

.Too bad kaka sielewi unachomaanisha nadhani kama tungekuwa na mentality ya mid table hata hiyo ya pili tusingeshika. Mara mbili mfululizo.Achievements kwa misimu miwili mfululizo kuingia top4 na kutoshuka daraja sio?
Ndio maana nikasema hizi ni mentality za mid table teams, Arsenyo kwa ubora mliokua nao kwa hii misimu miwili mfululizo hamkupaswa misimu yote kumaliza mikono mitupu bila ya kombe lolote.
Yaani misimu yote miwili ya kujisifu kwa ubora wa timu halafu mnamaliza msimu mikono mitupu bila ya Uefa, Epl, FA, Carabao halafu mnajisifia achievment?
Kuingia top4 ni achievment kwa mid table teams, Aston Villa akisema ameachieve kwa kuingia top4 wala hatuwezi kushangaa, ila Arsenal kwa level yenu sasa hivi sio kujisifu na kufurahia top 4, nyinyi kwa hii misimu miwili mlistahili zaidi ya top4.
Hizo mentality za top4 waachieni kina Spurs, Brighton, Villa etc.
Kwa kipindi hiki ambacho Nyumbu, Chelkenge na Livapunda wanajikongoja nyinyi kwa ubora mlionao mlitakiwa kipindi hiki kukitumia vizuri kwa kujaza makombe kwenye kabati lenu kabla hizi timu nyingine hazijaanza kujipata, matokeo yake Man Utd na ubovu wake msimu ulioisha kabeba Carabao na msimu huu yupo fainali ya FA, Liverpool msimu huu pamoja na kusuasua tayari ameshabeba Carabao, halafu nyinyi mnaondoka mikono mitupu na kuanza kusifiana ujinga humu kua kutokushuka daraja na kubaki top4 kwenu ni achievment kubwa![]()