Recent content by zedon

  1. Z

    Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    proisra Umeandika meeengi kama huna ubongo vile. Sema mahakama ya kadhi ianzishwe ila ijigharamie yenyewe ingetosha. Ila ni kwanini ijigharamie yenyewe na inatoa huduma kwa wananchi? Ushani tibua na akili yako ndogo.
  2. Z

    Kama Mungu yupo, je wanyama wakifa huenda mbingu gani?

    Kumbuka unachoamini ndio mwisho wako wa kufikiri. Binadamu hakuamini sikumoja atatembea mwezini akakomaa kujielimisha sasa hivi wanaitafuta Mars. Hakika elimu ya dini ni ngumu kuliko ubongo wa mwanadamu ulio ganda. Huamini, chunguza zaidi. Unaamini juelimishe zaidi.
  3. Z

    Huwa najiuliza, nini hasa kimewavutia Boko Haram kuteka wasichana na si wavulana

    Ni rahisi kuchunga ng'ombe kuliko mbuzi. Wanaume lazima wafaiti kujiokoa hasa kwa idadi ile. Ni rahisi kutawalika kwa dvd and rule theory.
  4. Z

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Dash! Si Uhamiaji pekee. Huko ccm kukoje, chadema, TRA na Bandari si utandumaa ukipawaza, Polisi na kwenyewe?
  5. Z

    Inaruhusiwa kujenga msikiti hapa hospitali?

    umepewa kichwa kidogo, ubongo robo huwezi kuwa na akili lazima utakaa mwehu uzeeni wewe!!
  6. Z

    Nidhamu ya kuwapisha waliotuzidi umri kwenye magari imepotelea wapi?

    kwani huwa hawajui hakuna pa kukaa? ama wanapanda ili wapishe? nitawapisha nikijisikia!!:dance:
  7. Z

    Naomba kufahamu bei ya simu aina ya Tecno phantom A2(F8)

    Tecno zinatunza chaji vizuri. Real techno phantom iwe A+ama A2 uta enjoy!
  8. Z

    CRISTIANO RONALDO For Ballon D'Or 2013

    Ronald ashinda. Safi sana
  9. Z

    Waijua chai maharage wewe?

    Nilizitumua sana Isuzu Moshi-Arusha zilitumia kama masaa matutu! Duuh! kitambo.
  10. Z

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    Acha wafu wazikane wenyewe.Ila wenye akili timamu watatumia macho matatu kwenye box la kura 2015
  11. Z

    Kwa nini waha-- ni wajuaji (-ve) sana?

    Ukianza na wabunge wao mpaka waigizaji wote wabishi. Ni mawese waliyokula utotoni,dagaa ama migebuka ya ziwa tanganyika?
Back
Top Bottom