Kwa nini waha-- ni wajuaji (-ve) sana?

zedon

Member
Jun 29, 2009
26
8
Ukianza na wabunge wao mpaka waigizaji wote wabishi. Ni mawese waliyokula utotoni,dagaa ama migebuka ya ziwa tanganyika?
 
post nyingine!!!!????.nadhani zina hangover ya xmass, nadhani mungefafanua maana sisi wengine hatujui mnaongelea nini?????? . ni aina ya mnyama?anakaa baharini? au ni aina gani ya mdudu?. kama ni.kabila, mnataka kutambikia kwenye.mizimu.yao?!!!!!........ mtoage ni.mifano ili tuelewe zaidi
 
Waha wala si wajuaji hapa Mwanza vibaka washa wajua kwakujifanya waCongo kwa kupandisha suruali kifuani, wanawapa vibano vya haja, nakuwafundisha maana ya kuishi mjini.
 
Ukianza na wabunge wao mpaka
waigizaji wote wabishi. Ni mawese waliyokula utotoni,dagaa ama migebuka
ya ziwa tanganyika?

wewe viloba na hizo bangi vitakupeleka pabaya,pole sana mkuu ngoja nianze maombi ya kuomba Mungu akupe nguvu ya kuacha hivyo viloba na hizo bangi
 
"Ufisadi,ubinafsi,ukabilaa kuuza sura hawataki kuuza sera,undugu ni kufaana sitasimama maovu yakitawala"
 
Ukianza na wabunge wao mpaka waigizaji wote wabishi. Ni mawese waliyokula utotoni,dagaa ama migebuka ya ziwa tanganyika?

"Kijana uza smartphone ufuge kuku wa kisasa obama rudi bongo barabara zipigwe msasa"-kala jeremiah
 
Ama ni kwa vile wapo karibu na wazee wa entarahamwe na wao wameambukizwa make wale kwa hako katabia swadata
 
Ukianza na wabunge wao mpaka waigizaji wote wabishi. Ni mawese waliyokula utotoni,dagaa ama migebuka ya ziwa tanganyika?

Kuna samaki anaitwa kuhe nasikia hapatikani kwa wingi huko ziwa Tanganyika ila ukifanikiwa kumla unakuwa mbishi na mjuaji kupindukia. Labda ndio sababu....
 
Ukianza na wabunge wao mpaka waigizaji wote wabishi. Ni mawese waliyokula utotoni,dagaa ama migebuka ya ziwa tanganyika?

Hawawatu hawataki muburuzwa,sifa zao: genius,msimamo,watetezi wa wanyonge Tanzania,vipaji km soka na muziki.Kaseja,matola,Lunyamila, Nteze, Makumbi juma, na nk. Muziki Kgm all stars. wabunge: zzk, mkosamali, Kafulila, machali na nk.
 
Back
Top Bottom