Naomba kufahamu bei ya simu aina ya Tecno phantom A2(F8)

Naomba kufahamu bei ya simu aina ya Tecno phantom A2(F8)

Kwani wewe unamthamini anayetumia simu yenye jina gani?kweli ushamba haushi kwa kukaa mjini

Huyo ni mjinga na uweze wa kufikiri ni -5 na ni maskini tu.kutengeneza chupi tu hawezi alafu anavyojikweza.
 
Ushamba ni ugonjwa mbaya sana bora hata upungufu wa kinga mwilini utakunywa ARV.Techno ni simu bora tena sana kama zilivyosimunyingine tuache ushamba na mambo ya kuiga jaman.Natumia BB lkn Techno naikubali sana tu kushinda simu nyingi tu zinazoshabikiwa
 
Tuambiane tu ukweli, TECNO walibugi mwanzoni pale walipoleta products zao na kungizwa kwenye kundi la products za kichina, japo produts zao zilikuwa na ubora ukilinganisha na zile nyingine za kichina.

Kama mjuavyo, vijana wengi tunaokwenda na wakati hatupendi vitu fake, au majina ya vitu vinavyochukuliwa kuwa fake, thus why tunasita sana kuamini kwamba TECNO ni simu bora ukilinganisha na brands zingine zenye android system, brands kama vile Sony Ericsson, Sony yenyewe, Sumsung, Huawei,Life is Good (LG) etc..

Mimi binafsi nitachukua muda sana kuamini kuwa TECNO ni bora kuliko Sony Xperia ninayoitumia mimi.

Mkuu na s3 bomba ile mbaya
 
Tecno zinatunza chaji vizuri. Real techno phantom iwe A+ama A2 uta enjoy!
 
Tunailinganisha kwamba, ushamba wa kushabikia majina umekufanya hela ya kununulia kiwanja wewe umeenda kuitupa kwenye sim ya mkononi ambayo huwezi hata kutumia nusu ya vitu vilivyowekwa na huyo mkorea wako. Wakati wenzako wanatumia robo ya hela uliyotumia kununua simu yenye kila kitu unachohitaji.time will tell mtaikubali tu hii phantom.

mnalinganisha vipi na iphone 4s niliyonayo mm?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Tecno speed 180 kwenye kona shaaa! Naikubali sana teknolojia ya tecno! Wanayoiponda wote ni malimbukeni!
 
Price in Kenya
Find your Phone
Tecno Phantom A2 (F8), phablet
display & up to 8MP self-portraits
September 9th, 2013 by Price
Tecno Phantom A2 (F8)
Tecno Phantom A2 (F8) Features
With a 5.7-inch display, device
emerges as Tecno’s first
phablet (phone/tablet), neatly
crafted for productivity & rich
media consumption
At only 8.9mm thick &
sporting smooth rounded
corners, device is slimmer
than its predecessor the
Phantom A and designed to fit
into pockets without much
strain
5.7-inch multitouch display
with haptic feedback, thin
bezels & hardened protective
plastic (display still prone to
accidental scratches)
25% increase in battery
capacity (necessitated by the
mammoth display) ensures a
full day of moderate use
Practically unlimited
phonebook entries with
multiple numbers per contact,
picture ID & deep integration
with Gmail, WhatsApp, Skype,
LinkedIn, WeChat & soon
BlackBerry messenger
Dual-SIM functionality with
dual stand-by (both SIMs can
be used simultaneously
without disrupting services of
the other, swapping SIMs
however requires device to be
restarted)
To preserve battery life, only
the primary SIM connects to
3G, while the secondary SIM
maintains EDGE access
A wide selection of privacy
locks; password unlock,
pattern unlock, pin unlock &
face unlock
Customizable ringtones,
widgets, live wallpapers &
vibration alerts
13MP autofocus camera with
dual LED flash, geotagging,
white balance, digital zoom,
scene selection & HD video
recording
An impressive 8MP webcam
optimized for high-resolution
self-portraits & HD calls via
Skype, Viber, Tango or WeChat
GPRS/EDGE/3G & Wi-Fi
internet connectivity (with
mobile hotspot)
Up to 236.8Kbps download
speeds on 2G, up to 21Mbps
on 3G
Desktop-like browsing
experience via preloaded
WebKit & Google Chrome
browsers
Even faster & cheaper
browsing via the preloaded
Opera Mini web browser
Downloadable Kingsoft &
Polaris Office viewers for
Word, Excel & PowerPoint
documents (Kindle & PDF
supported via downloadable
ebook readers)
Android Jelly Bean operating
system with unrestricted
access to over 500,000 apps
on Play Store
Preloaded essential Google
apps; Gmail, Search, Maps,
Play Store, YouTube,
Hangouts, Google+, Calendar,
Picasa & Chrome browser
Power efficient quad-core
Cortex-A7 processor
Integrated PowerVR graphics
processor (good to go for
some HD gaming; Asphalt 6:
Adrenalin, NFS Most Wanted,
GTA Vice City, Subway Surfers,
Resident Evil, FIFA 12, Talking
Tom Cat 2, Temple Run 2 etc.)
1GB RAM
4GB internal storage
(upgradeable to 32GB via
microSD cards, 8GB provided
free in the box)
Bluetooth v3.0 with Advanced
Audio Distribution Profile
(A2DP)
No Near Field Communication
(NFC) support
Stereo FM radio with no RDS
Multi-format music player
supporting background
playback, customizable
playlists, equalizer presets,
album art & Digital Theater
System, DTS sound
enhancements
AVI/MKV player out of the box
supporting smooth playback of
full HD videos
Device available in black or
white colors & comes with
12+1 months manufacturer
warranty
Technical specifications
Announced September 2013
expected release September
2013
Dimensions: 160 x 82 x
8.9mm
Weight: will be updated
shortly
Screen size: 5.7 inches
Screen resolution: 720 x 1280
pixels
Pixel density: 258 ppi
Screen type: TFT capacitive
touchscreen capable of
displaying up to 16M colors
Automatic display rotation
Pinch to zoom, pan, swipe &
other multitouch gestures
supported
Hardened protective plastic
display (no scratch resistant
mineral glass)
Proximity, ambient light &
gravity sensors
Missing LED notification light
for new messages, emails or
missed calls
Preinstalled Google maps
offering turn by turn, voice-
guided navigation (maps can
be cached for offline use, no
Global Navigation Satellite
System, GLONASS)
GPRS/EDGE/ 3G / Wi-Fi internet
connectivity
Wi-Fi 802.11 b/g/n with
internet sharing via mobile
hotspot
Up to 21Mbps download,
5.76Mbps upload speeds on
3G HSPA+ networks
Up to 236.8Kbps download
speeds on EDGE
Preloaded WebKit & Chrome
browsers with excellent HTML5
(no Adobe Flash)
SMS/MMS/Email & Push Email
messaging (with predictive text
input & third party keyboard
support)
IMAP/POP3/SMTP & Microsoft
Exchange email support
Kindle, PDF, Word, Excel &
PowerPoint document viewing
via downloadable Office suites
(cloud storage & syncing via
selected apps)
13MP , 4128 x 3096 pixels
autofocus camera with dual
LED flash, geotagging, digital
zoom, white balance & scene
selection
Up to 720p, 1280 x 720 pixels
video recording at 30fps
8MP webcam capable of high
quality self-portraits (up to
3264 x 2448 pixels) & 720p HD
video calls
3.5mm audio jack
microUSB v2.0 with mass
storage & USB charging
Bluetooth v3.0 with Advanced
Audio Distribution Profile
(A2DP)
Stereo FM radio with no RDS
MP3/AAC/WAV/FLAC/AMR/MIDI
music player with
customizable playlists, album
art, background playback,
equalizer presets & Digital
Theater System, DTS sound
enhancements
DivX/XviD/MKV/3GP/3GPP/
MP4/WMV/RealVideo/YouTube/
Vimeo player supporting HD
playback to 1080p (more
formats playable via third
party apps)
Android v4.2.1 Jelly Bean OS
1.2GHz quad-core ARM Cortex-
A7 processor
MediaTek MT6589 chipset
1GB RAM
PowerVR SGX544MP graphics
processing unit
4GB internal memory (about
1.4GB user available)
External memory slot
supporting microSD cards up
to 32GB (free 8GB provided in
the box)
2630mAh Li-Ion battery
Up to 17 hours 18 min talk
time on 2G
Up to 11 days 16 hours stand-
by time on 2G/3G
Tecno Phantom A2 (F8) Price
The price range for this phablet as
expected when it launches locally Ksh.
24,499/=

Safi sana hii ndio raha ya "select all" and copy
 
Phamtom linapatikana k.koo mia 3 hamsini. Lilianzaga mia tano airtel shops mlimani city. Bonge la simu. Zile mambo za kununua majina zishapitwa na times! Nyie bakini na mawazo yenu ya samsani galaxi esfoo.
 
Mkuu nimeinua Mwanza wakati wa maonesho ya nane nane. Hata watu wenye sim za mamilioni wakiiona wanajuta kupoteza hela zao kwa kuwa ina function zote zilizo kwenye sim za bei mbaya.Kikubwa zaidi ina kitu kinaitwa Power Bank, ukiishiwa chaji hata ukiwa porini unapachika power bank maisha yanaendelea

Mbona hiyo power Bank hata samsung wanazo mkuu? Hiyo siyo issue.Mimi natumia Galaxy note 2 ninayo hiyo power bank ila sema unainunua separate ni kama sh 110000/=
 
Mwenye Tecno A2 F8 anaitonye nahitaji hii mashine nimetafuta kariakoo nimekutana na phantom A+
 
Naomba mwenye kujua duka hapa dsm ambalo naweza pata tecno A2 anielekeze hata kama anajua bei naomba anijulishe pia.
 
Mkuu unaweza kuwa specific kdgo? Hayo maduka yapo karibu na ofisi gani?

Kariakoo mzunguko wa shule ya Uhuru kama umetokea Karume ni mkono wa kushoto,kama umetokea Congo ni mkono wa kulia, mabango makubwa tu yapo pale.
 
sumu haujaipata cm ya tecno phatom A+ ni bomba sn mm pia nilikuwa siipendi ila kwa sasa naipenda na naitumia
 
Mimi mwenyewe hii mambo imenisumbua kichwa sana.Ila nawaambieni ukweli Tecno sio simu ukifananisha na simu nyingine zenye majina za android.Na ukitaka kuamini tumia maana hapa nimeshika samsung galaxy s4 na hiyo tecno phantom yaani ni vitu viwili tofauti ni kama kufananisha usingizi na kifo.Na hili uweze kugundua hili ni lazima uwe nazo zote kwa pamoja.Sio umeenda kununua tecno unatumia unaanza kuisifia wakati Hizi simu nyingine unaziona kwa mbali tuu hautaelewa ninacho ongea hapa.
 
Back
Top Bottom