Inaruhusiwa kujenga msikiti hapa hospitali?

Inaruhusiwa kujenga msikiti hapa hospitali?

Hii inaonyesha kwamba Kuna watu hata Mahospitalni huwa hawaendi kutembelea ndugu zao.
Hospitali nyingi tu zina Miskiti na Makanisa.
Ila ukubwa wao ni mdogo kulingana na idadai wa watu na eneo.
Lengo kubwa ni maombi maalum kwa wagonjwa na pili ni Kusalia maiti kabla ya kwenda kuzika.
Ifahamike pia kwamba wapo watu wanaokufa Mahospitalini na huku ndugu zao wakiwa hawana uwezo wak usafirisha maiti na wapo wengine ambao maiti zinapelekwa pale hata ndugu hakuna.
Sasa pale hutumika kama sehem ya kuwafanyia ibada maalum maiti kabla ya kwenda kuzikwa na jamaa zao au jiji.

Ningependa tusikebehi nyumba za ibada kuwa mahospitali zinaumuhim wake na mkubwa sana.Hii inatagema kila mtu na uelewa wake,maana wengine kuingia makanisani au misktiini ni ussue.

Na ukitaka kuwajua hawa ngonjwa siku waumwe au wapate tatizo uone jinsi wanavyomtaja mungu kwa sauti kubwa.
Ila jua kwamba kila pumzi unayoivuta muda wowote Mungu anaweza kusitisha na kukuita mbele ya ufalme wake na kuhoji umemfanyie nini duniani kwa maamrisho yake.
We Kula Bia,Madem,Sengenya watu,Tapeli watu,jue shughuli utauona hapa hapa duniani na habari kamili ukiitwa mbele yake Mungu.

Hembu chukua mkono wako wa kulia weka usawa wa Moyo wako,kisha angalia yale mapigo ya moyo,jiulize je yatapiga hivi mpaka lini,na ujue kwamba yakifanya kusita tu ndio mwisho wako.

Kwa huku Zanzibar,Miskiti ipo hadi uwanja wa ndege,na baadhi ya ofisi nyingi tu kuna chumba Maalum cha Ibada.
Mahoteli ya Kitalii mengi sana ya na miskiti pia.Baadhi ya Shule pia za Serikali zina vyumba maalum vya Ibada
huyu itakuwa hata shule hajapitia kusoma,mbona shule nyingi huku
Tanzania zina sehemu,zilizotengwa kwa waislamu kufanya ibada,mda wa ibada ukifika wanakwenda kuswali.
 
Watu wanapenda kuwabana wenzao wasipate huduma za kiroho. Hizo ni chuki ambazo zinapingana na mafundisho ya Yesu. Usipende kuwawekea wenzio vikwazo. Wao pia wanayo matumaini fulani baada ya kifo
 
kwani hapo kumejengwa msikiti gani?
1.SHIA.
2.ANSWARI.
3.MAKAFIRI
4.SUNI
5.WA YULE MTUME WENU ALIYEOA MKE WA MIAKA 6.
6.WA SHEH YAHAYA? auu makameeee njo huku utuambie

Wote hao uswalim msikitu wowote na ibada ile ile.mkuu
 
ndugu NYONI kutokana na jina lako hakuna shaka kuwa hospital unayoiongelea ni ya mkoa wa Ruvma, ila ungeanza kwanza kuuliza kwa nin majengo ya grade 1 katka hospital hyo yamedhaminiwa na waarab.!? bila shaka ni haohao ndio wamejenga na huo msikiti ikiwa ni kuendeleza utamaduni wao kumkumbuka muumba. Ila bado nafac zpo kwa madhehebu mengine kuomba place nao wajenge., lakn kabla ya kujenga inabidi waonyeshe nia kama walivyofanya waarabu.....
 
Ni mfumo-islamu huo. Shida ni kwamba wenzetu wanakwere nyingi!
 
kweli itakuwa hatari hosp kengele za makanisa na adhana za misikiti wagonjwa watapata karaha

Muhimbili wamekataza kengele na azana zilikuwa zinawastua wagonjwa hasa wale waakili ilikuwa wote wodini wapiga azana ikawa fujo
 
Ni vizuri ingejengwa msikiti na kanisa lakini kanisa gani sasa lijengwe?
1.KATOLIKI?
2.ANGLICAN?
3.SABATO?
4.EAGT?
5.JUMBA LA WAFALME?
6.MOYO SAFI WA BIKIRA MARIA?
7.MTAKATIFU HERODE?
Sijui litajengwa lipi?

Sasa na wewe hapo wamejenga msikiti wa
1. Bakwata
2. Sunni
3. Shiia
4. Ahmadiyya
5. bahi
6. sufi
7. mirzai
8. wahabi
9. Alawites

Sipendi mtu anayezalau dini ya mwenzake sipendi, jifunze kutoa hoja kwa hoja!!!
 
Jamani mbona hata hospital kubwa kuna msikiti na kanisa?mie nijuavyo ni kwamba ile imejengwa mahsusi kwa wenzetu wanaofariki hapo hospitalini.mfano kanisa ni kwamba,km kafa mkiristo pale km ndugu wanataka basi ataandaliwa pale kanisani na hata waislam km ndugu wataamua bac ataandaliwa pale msikitini ili wakifika sehemu husika wanafanya tu maziko.
 
Hospitali ya serikali ya mkoa ndio ipi?
Uliwahi kuulizia kuhusu utaratibu wa kujenga kanisa maeneo hayo ikashindikana?
Majibu tafadhali.

Tatizo siyo kujenga msikiti, tatizo cku wakianza kujilipua
 
waislamu ibada zao hazitofautiani,wote ibada ni aina moja,....
Ingekuwa ni ibada moja usingesikia Sunni na Shia wanauana huko Iraq, na wala usingesikia siku tofauti za mwandamo wa mwezi, wala usingesikia baadhi wakipinga sherehe za maulid ya kuzaliwa mtume!
 
Sasa na wewe hapo wamejenga msikiti wa
1. Bakwata
2. Sunni
3. Shiia
4. Ahmadiyya
5. bahi
6. sufi
7. mirzai
8. wahabi
9. Alawites

Sipendi mtu anayezalau dini ya mwenzake sipendi, jifunze kutoa hoja kwa hoja!!!

umepewa kichwa kidogo, ubongo robo huwezi kuwa na akili lazima utakaa mwehu uzeeni wewe!!
 
Back
Top Bottom