Jamani mtuhumiwa atakuwa kwanza siyo mzima pili hatakama mtu ulikuwa unamtaka for a long time sasa ndio mtumie na wengine jamani huyo ni mnyama tena mmmh haoni haya kujibu eti ndio nimekubaka atakuwa mwehu lazima.
Asante ndugu Selengias nadhani kwa jibu hilo linatosha kusafisha miyoyo ya watu kwa majibu ya huyu dada infact majibu yake yako sahihi wala si hasira hata kama ungekuwa wewe. asante
Tena ukweli wamewakosea adabu sana hawa wanandoa ingekuwa vinginevyo huyu mwandishi alitakiwa kushitakiwa. maana wenye ndoa wamesha sema hakuna tatizo bado yeye analazimisha, kama hana pesa na anatafuta kwa njia hiyo basi hiyo pesa wala haina faida kamwe tena ashindwe na kulegea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.