Wamasai bwana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamasai bwana!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mnyikungu, Mar 12, 2010.

 1. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  siku moja nimepanga foleni kwenye benki ya NMB nyuma yangu alikuwekupo mmama mmoja wa kimasai ambaye hatufahamiani,simu yake iliita yule mama akaniita nilipoitika akaniuliza eti hii namba ni ya nani?
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  kwa nini hukumsaidia kujua ile ilikuwa namba ya nani?
  inawezekana yeye hajui kusoma hivo ungemsaidia....au macho yake hayaoni vizuri hivo ungefikiri hivyo na hata kumuuliza ungepata jibu mwishowe ungemsaidia kuliko kutuletea thread................WATCH OUT!!!!!!!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  tehee....
  more than a joke!
   
 4. dorin

  dorin Senior Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ulijuaje alikua mmasai?
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,330
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Hii kali.
  Kama hajui kusoma ni kwamba hakuweza ku save jina.
  Kama jina halikuwa saved ni kwamba ilionekana namba tu.
  Je wewe ungeijua vipi hiyo namba kuwa ni ya nani??
   
 6. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  alivaa kimkasai
   
 7. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wewe ungemsaidia kujua ilhali namba haina jina?
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Avatar yako matata mnooo
   
 9. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ulisahau usemi wa "kuuliza sio ujinga"?????? . Kama hukumsaidia au hukumjibu ulifanya makosa makubwa sana.
   
 10. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  haha haaa asante sana. hata yako nimeizimia mno
   
 11. senator

  senator JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hapooo juu kimbweka amezimikia avatar ya dorin au sijamsoma vyema..naona kimbweka anapenda mambo flani hivi!
   
 12. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  Kumbe mavazi ya kimasai,lakini sio mmasai?Kwahiyo hata ukiona mbongo kavaa kihindi utamwita muhindi?
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Exactly!
  Kimbweka mtu wa totoz wewe...Hata hili jukwaa anapitisha macho tu, jioni ni kuleee!
   
 14. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  Jamani sasa issue hii inahusianaje na umasai?ingekuwa kila mmasai anafanya alichofanya huyo mama ningekubaliana na wewe,lakini kwa hapo nakushauri utafakari kabla ya kutuma threads!!
   
 15. B

  Bob Nash Member

  #15
  Mar 13, 2010
  Joined: Aug 21, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nao wana haki sa we ngesaidia tu yeye babayeyoo/mamayeyoo
   
 16. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  wanaojifanya wamasai utawajua tu, na wamasai halisi utawajua ok!
   
 17. Z

  Zeddie Member

  #17
  Mar 15, 2010
  Joined: Mar 6, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha ha jamani mbavu zangu
   
Loading...