Taa izimwe isizimwe?

Taa izimwe isizimwe?

jamani mbona kuna taa maalum kwa ajili ya chumba cha chakula ?
Gizani mmh hapana
Inategemeana na hali. Si umesikia ya wapiga chabo na nyumba tulizopanga uswahilini? Afu hata kama ni nyumba yako, si unajua ukijulikana unayo nyumba yako watu wanavyokusarandia waje kukaa kwako kina binamu, mjomba, shangazi, nani nani nani.....mpaka uhuru wa mamb yako huwa historia? Umepanga chumba kimoja ukigawa kwa khanga, afu watoto wako wawili wakubwa kabisa wanalala upande mwingine wa khanga, unataka ule chakula na mataa yanakumuikeni ili watoto wawaone vizuri siyo? Hata kushangilia watu hawawezi kushangilia magoli yanapoingia na chenga zinavyokabwa wakati wote wa mchezo, mnabaki kugugumia tu na kutoka majasho. Hujaona hata kitanda huogopwa kula chakula kwa sababu teremka nikaze inashangilia kwa rhythm na mwendo speed inayolingana na mpira unavyoenda kasi? Weacha tu, semeni nyie mliojenga ufukweni na chumba kikubwa kiko mbali na wengine hata mwaweza kujilia chakula chenu nje kwenye upepo asilia.
 
Na kwa nini izimwe?? kunauwalakini hapo wala sikubali. Taa isizimwee
 
Utaendeshaje gari gizani? Hata kama njia ndio hiyo hiyo upitayo daily mwanga kiasi ni muhimu.
 
utamu na raha ya chakula ukione wakati unakila......................................kula gizani ndo mwanzo wa kula visivyoliwa jamani
mi nshawahi kula TIGO bila kujijua, mambo ya kuzima taa hayafai kabisa!
 
sasa hii chakula gani ya usiku na taa izimwe... ahhh wabongo bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom