Recent content by Zeddicus Zu'l Zorander

  1. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

    Mimi kama nina mishe zangu town, nikitaka kushuka kwenye gari kibegi cha laptop nakiweka chini ya kiti.
  2. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania Marekani: AI yamsababishia mtoto kujiua baada kushiriki mazungumzo ya kingono wakati akicheza mchezo wa Virtual 'Game of Thrones

    Natamani kujua nini hasa kilimfanya ajiue, mbona kama alishakubaliwa kwenda gheto kabisa
  3. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

    Hana aja ya kuomba radhi kaongea ukweli mtupu
  4. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Jiji lenye wakazi Duni na mpangilio wa ovyo wa makazi Tanzania

    Ni kweli lakn kumbuka Dodoma walikuwa CDA
  5. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Mombasa afyatua risasi kuwaondoa waandamanaji maeneo yake ya biashara

    Safi sana, vijana wamechoka kuandamana sasa hivi wanavunja maduka ya watu. Angeua hata watano ili wapate akili
  6. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna utofauti ya ukomo wa madaraja ya TGTS kwa Walimu wa Shahada na Stashahada?

    Ndio iko hivyo, ila kama unafundisha vyuo vya ualimu mwisho ni J.
  7. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata JBL bluetooth speakers original Mwanza?

    Ni changamoto sana, kuna jamaa yangu aliagiza Dar ila nahsi amepigwa copy maana inagonga kiasi alafu haikai na chaji. Mi nimeamua kuchukua ya oraimo angalau najua sio copy na inagonga vizuri sana ukilinganisha na bei yake.
  8. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA tafuteni njia nzuri za kurecord mechi katika uwanja wa UHURU, angle mnazo-record ni za ovyo

    Huyu refa wa namba nne huku nje mbona simuelewi mbona kama ana shughuli nyingi
  9. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania Dereva Amelewa sanaGari aka lori ameliingiza porini karibu na Zesko

    Umebeba familia yako unaenda kupumzika kijijini, unakutana lilevi kama hili halioni hata wapi linaenda
  10. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige Marufuku Nyimbo za Dini ya Kikristo Baa

    Niko bar hapa amepita mdada ana form anachangisha hela ya kununua kiwanja cha kanisa, walevi wanajaza form kama hawana akili nzuri
  11. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania Nimenunua dish la Azam sina ela ya kumwita fundi anifungie

    Haya maisha haya, juzi kati hapa nimepaka rangi nyumba yangu, ile mvua ya kwanza kunyesha ukuta juu kidogo ya msingi ukawa unachafuliwa na maji ya kwenye bati yanayomwagika ardhini, kutafuta fundi akanipa bei hazieleweki. Nikasema kwani sayansi ya hapa si kutafuta slope tuu, nilitenga wikiendi...
  12. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TARURA MWANZA: Huu ni wizi, mkaliangalie hili haraka sana

    Mbaya zaidi hakuna msg inyoingia, unakuja kukuta na faini juu
  13. Zeddicus Zu'l Zorander

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa Uchaguzi wa Askofu wa KKKT - DMP, Je, Mchungaji Dkt. Kimaro atagombea?

    Sure, kama uchaguzi wa jana Askofu Bagonza atachagiliwa
Back
Top Bottom