Tujiandae kwa Uchaguzi wa Askofu wa KKKT - DMP, Je, Mchungaji Dkt. Kimaro atagombea?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,127
Baada ya Katiba ya KKKT kufanyiwa marekebisho Askofu mkuu wa KKKT hatakuwa tena Askofu wa Dayosisi.

Hivyo Dayosisi ya Mashariki na Pwani itapata Askofu mpya baada ya Askofu Dr Alex Malasusa kuchaguliwa kuwa Askofu Mkuu.

Mchungaji Matsahi na Mchungaji Dr Kimaro Wana nafasi kubwa ya kumrithi Askofu Malasusa pale DMP.

Jumaa Mubarak!
 
Baada ya Katiba ya KKKT kufanyiwa marekebisho Askofu mkuu wa KKKT hatakuwa tena Askofu wa Dayosisi

Hivyo Dayosisi ya Mashariki na Pwani itapata Askofu mpya baada ya Askofu Dr Alex Malasusa kuchaguliwa kuwa Askofu mkuu

Mchungaji Matsahi na Mchungaji Dr Kimaro Wana nafasi kubwa ya kumrithi Askofu Malasusa pale DMP

Jumaa Mubarak!
Most likely..il alitia doa kidogo....
 
Do you think ushawishi aliokuwa nao Kimaro kwa waumini wenzake uko the same na ushawishi wake kwa wachungaji wenzake..? Maana wachungaji typically ndo wana control mawazo ya viongozi wa halmashauri kuu za sharika zitakazofanya maamuzi kwenye uchaguzi.
Uchaguzi ungekuwa unafanyika kwa kufata ramli na mawazo ya wananchi, nadhani hata CCM isingekuwa madarakani, there's a lot to these elections than popularity ya mtu fulani.
 
Sure, kama uchaguzi wa jana Askofu Bagonza atachagiliwa
 
Most likely..il alitia doa kidogo....
Askofu wa KKKT -DMP inahitaji utulivu wa ndani na uvumilivu. Hizo ni sifa kubwa mbili ambazo hao wote wawili uliowataja hawana.Hao ni watu wazuri kiroho ila hekima zimewakimbia mbali.Wanaweza kuingiza watu barabarani kama vipi
 
Baada ya Katiba ya KKKT kufanyiwa marekebisho Askofu mkuu wa KKKT hatakuwa tena Askofu wa Dayosisi.

Hivyo Dayosisi ya Mashariki na Pwani itapata Askofu mpya baada ya Askofu Dr Alex Malasusa kuchaguliwa kuwa Askofu Mkuu.

Mchungaji Matsahi na Mchungaji Dr Kimaro Wana nafasi kubwa ya kumrithi Askofu Malasusa pale DMP.

Jumaa Mubarak!
Hawa wote wawili binafsi naona wanafaa toka mafundisho hadi Utawala !
 
Back
Top Bottom