Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 168
- 254
Wakuu naomba anayejua ni wapi nitapata JBL bluetooth speakers original kwa hapa mwanza anipe ramani.
ubairi wako ndio tatizo.unataka iphone 15 pro max kwa milioni 1Wafanyabiashara Wetu Wengi ni Matapeli na Ujanja Mwingi sana Hasa Kwenye Vifaa vya Electronics unaweza Letewa Refurshed product ukauziwa kwa Bei ya Mpya
Kwahiyo Electronics devices ni Iphone peke yake?ubairi wako ndio tatizo.unataka iphone 15 pro max kwa milioni 1
Nyingi zilizopo ni copy sio original,original products angalau utapata duka moja liko mlimani city sema bei imechangamkaWakuu naomba anayejua ni wapi nitapata JBL bluetooth speakers original kwa hapa mwanza anipe ramani.
Nenda instagram wacheki phone point dar wapo Samora Avenue wanauza bidhaa genuineWakuu naomba anayejua ni wapi nitapata JBL bluetooth speakers original kwa hapa mwanza anipe ramani.
bongo bhana..Nyingi zilizopo ni copy sio original,original products angalau utapata duka moja liko mlimani city sema bei imechangamka
Hiyo ni copy sio OG.Wakuu vizuri gharama.
300k kwa kispika hiki kidogo..but men!!!!!...hiki kidude kinagonga balaa.
Jbl nimewavulia kofia.Nitadaka na soundbar yenu pia
acha na kugonga isipokaa na chaji masaa 12 iyo ni cloneWakuu vizuri gharama.
300k kwa kispika hiki kidogo..but men!!!!!...hiki kidude kinagonga balaa.
Jbl nimewavulia kofia.Nitadaka na soundbar yenu pia
Hivi copy ya jbl inaweza kusoma kwenye app ya jbl wenyewe ukiiconectacha na kugonga isipokaa na chaji masaa 12 iyo ni clone
HaiweziHivi copy ya jbl inaweza kusoma kwenye app ya jbl wenyewe ukiiconect
Ikumbukwe apple walisema hawana iStore afrikaKwahiyo Electronics devices ni Iphone peke yake?