Recent content by Ze_big_chill

  1. Ze_big_chill

    JamiiForums Tanzania Manara this is too much

    Jamaa boya sana ana tabia za kike kike....sijaona kosa la Kitenge
  2. Ze_big_chill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Mkuu leo karibu miaka 20 namtafutia nini tena, nilikumbuka tu hicho kisa nikaamua kushere
  3. Ze_big_chill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Mkuu rudia tena kusoma bandiko langu,kuna maswali hutaniuliza
  4. Ze_big_chill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Mkuu sasa nimeshakuwa mtu mzima na nipo na family yangu na pia namshukuru Mungu mambo yanaenda vizuri.
  5. Ze_big_chill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Pole sana mkuu, siku ukipata muda tupe kisa chako naamini wengi watajifunza.
  6. Ze_big_chill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Tayari nipo katika umri huo mkuu na ninashukuru maisha yanaenda vizuri.
  7. Ze_big_chill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Asante kiongozi, sasa nimeshakuwa mtu nipo na family na family yangu ipo na furaha. Sema mama alishafariki.
  8. Ze_big_chill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Asante mkuu Mama aliumia pia, sasa nimeshakuwa mtu mzima na maisha yangu yanaenda vizuri sana namshukuru Mungu.
  9. Ze_big_chill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Mkuu siwezi tena kumfuata nilijisikia vibaya sana na imeshapita miaka mingi sijui kama yupo hai au la.
  10. Ze_big_chill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Ni kweli Mungu ndiyo baba yangu, hata sijui mama alimkosea nini nakumbuka hata rafiki wa mzee alikuwa akipita home na kutusalimia.
  11. Ze_big_chill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Nilivyopata akili nilitamani kumjua baba yangu mzazi hapo nikiwa darasa la 5, baada ya kuona marafiki zangu wote wapo na wazazi wao wawili. Nikafuata mama na kumliza juu ya habari ya baba yangu, mama hakunipa jibu la kueleweka zaidi ya kunifokea, maisha yakaendelea nilivyomaliza darasa la 7...
  12. Ze_big_chill

    JamiiForums Tanzania Nawahusia viongozi wajao wa Tanzania mambo haya kwa ustawi wa Taifa

    Anasikiaga basi....
  13. Ze_big_chill

    JamiiForums Tanzania TRA na mapato ya November 2016

    Hatari sana sheikh [emoji23]
Back
Top Bottom