fikiria aftermath ya huyo mtoto mkuu...siku hizi utu haupo kulea mwana wa mwingine..mbaya zaid wasanii wengi wana majina hevi kuliko wanavyovimiliki..hawaachi cha kusapoti waliobaki..na hata kama wataacha chochote ndugu watadhulum..matata mazito kwa dogo yatima..ni hayo tu.
..CLASS STRAGO..harufu ya mapinduzi..nyakati za kuchukua kilicho chetu..unapodharau mambo madogo baadae huwa makubwa...M23,boko,shabaab..etc..etc...ni picha halisi...WAKE UP & JIANDAE KWA MENGI..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.