Hapa duniani rafiki mnafiki ni Marekani

Hapa duniani rafiki mnafiki ni Marekani

Bila marekani thabiti hakuna dunia
 
Marekani siku zote hawana rafiki. Wao wana maslahi tu. Rafiki kwao ni yule anayekidhi maslahi yao kwa wakati husika. Nje ya hapo si rafiki.
Adui mkubwa hugeuka kuwa rafiki kama wanapata maslahi kwa wakati huo.
 
Marekani ndo huyo huyo anawasaidia chanjo
 
acheni kupotosha.God bless United States of America

Usa kafanya jambo gan jema la kuhitaj pongez hapa dunian?usa ni mnafki kupta maelezo,yupo kmaslah na sio kuwa anaweza akakusaidia purely with good itention.m usa wa kumwamin ni yule alye kufa tu,but th livng ones will make you regret even in th grave pind pale utakapo kuwa huna benefit kwao tena.putin muonyeshe kaz usa akjidai anajua kumilk ulmwengu
 
Hawa wanakukenulia meno, ukigeuka tu wanakupiga bisu mgongoni.
 
Hata babaako aliumbwa na MUNGU lakin tambua bila yeye hakika usingekuwa wewe, mnafiki ni wewe unayetumia window kwenye computer yako huku ukitukana marekan, na ulivyomnafiki kaswali kadogo tu unazama google unamaliza mambo yako unafurah then unatukana waliokuwezesha, kama vp acha kabisa kutumia hata ile gmail yako ili tuone nani mnafiki
 
Back
Top Bottom