Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,247
utakuwa ni wewe makala umejipiga picha na kuleta hapa jf kifupi hata upande nyani bado raia hawana imani na nyie magamba saiv mnakazi kubwa hiyo janja tu ili uonekane uko pamoja nao kumbe chenga tu unasaka kura ukipita kurudi tena hadi 2019.
Hapati kitu kama ni zao la nyinyiem