Exclusive pics: uchafu wa mwalimu wa kibasila

Exclusive pics: uchafu wa mwalimu wa kibasila

Kwa mujibu wa wapangaji wenzake alikataa kushiriki kazi za usafi was choo hivyo wakamzuia kutumia choo yeye akaona poa tu kumbe alikuwa na plan B
Sasa kama hataki ushirikiano na wapangaji wenzie angejenga nyumba yake au aende sayari nyingine maana hii haimfai
 
Huyu jamaa amenishangaza sana, ila matatizo Haya na mengineyo yatakuwa mengi sana Kwa walimu, wamechoka....

Sio kweli kabanga. Yaani mtu ukichoka na hali ya maisha unanyea na kukojoa chumbani mwako? Hayo ndiio aliyoyafanya mwalimu Gaudensia wa kibasila.
 
Last edited by a moderator:
Sio kweli kabanga. Yaani mtu ukichoka na hali ya maisha unanyea na kukojoa chumbani mwako? Hayo ndiio aliyoyafanya mwalimu Gaudensia wa kibasila.

Hivi kama mwalimu yuko hivi hao wanafunzi wake linapokuja suala la usafi alikuwa anakuwa na personality gani?
 
Last edited by a moderator:
Mola nusuru taifa lako Tanzania tuna amani hatuna.usalama ndio maana polisi ndio wenye kazi
 
Sio kweli kabanga. Yaani mtu ukichoka na hali ya maisha unanyea na kukojoa chumbani mwako? Hayo ndiio aliyoyafanya mwalimu Gaudensia wa kibasila.
SHIEKA, mimi nimeshakuwa na miongoni mwa shule ambazo nimemalizia ajira yangu ni kibasila, asikwambie mtu, walimu wengi wamechoka kwa kila kitu....
 
Last edited by a moderator:
mimi picha yake nimetumiwa watsap ila sijui jinsi ya kuituma hapa ila ni mrembo tu sasa sijui alikua anachepukia wapi
 
Huyo hapo ticha mwenyewe
 
Attachments

  • 1425280782870.jpg
    1425280782870.jpg
    98.3 KB · Views: 376
mda mwingine binadam anakua anamawazo ya ajab sana!!!sasa mtu mwenye akili timamu anafanya vitu vya ajabu kiasi hicho!!haya ni madhara ya gongo na viroba
 
Wakuu kwa mujib WA google ya karib na mwalim gaudensia ni kuwa alipigwa chin na boy friend wake ndo akawa pyschologically affected.so watafuta wachumba mrembo huyo
 
katika hali ya kawaida anaitaj msaada kwa kweli atakuwa ana majini mabaya
 
Back
Top Bottom