Elimu ya Tanzania ispofanyiwa marekebisho itajenga ukabila !

Elimu ya Tanzania ispofanyiwa marekebisho itajenga ukabila !

induna's

Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
40
Reaction score
3
serikali imejenga shule kwa kila kata ikiwa na longo la kuwapa elmu kwa watu wote,lakni wanasahau inajenga ukabila


hii inasababishwa nashule za kata wanaosoma ni wanafunz wa jamii lenye kabila moja ambalo hadi jina shule linaitwa kabila hlo!!!!


watanzania mwl.nyerere alikuwa ana mtazamo chanya alitumia jitihada nying ktk kuhakikisha jamii ya tanzania ni ndugu miongo mwa mbinu ni kuchanganya wanafunz kutoka mkoa mmoja kwenda nyngnd lakn viongoz wetu wamesahau hayo kuwa hakuna kitu kibaya kama machafuko ya kidin na ukabila

hii elmu ya mwanafunz kukarr mazngra haimpi taaluma ila inamfanyaa adumae pia kuathiriwa na lugha ya kikabila ,,,,,kuna baadh za shule vijijin vnaomba angalau wanafunz wajue kuzungumza kiswahl je utamwambia nan NO ENGLISH NO SERVISE????Hi ni hatar kwa elmu yetu !!!!!!

MAONI YANGU
Kujenga elmu bora lazma mtoto abadili mazngra ili waweze kujenga uswahl wetu ambyo ndio nguzo yakuvunja ukabila,,tuweze jenga elmu bora maabara tu haisaidi inahtajika mipango!!!MABADILKO N MM NA WW tke actio
 
Kwa vijijini ni kweli kuna changamoto za ukabila lakini mijini tumeshachanganyikana sana kwa sehemu kubwa ya Tanzania isipokua bijimikoa vichache vinavyogoma kubadilika
 
Kwanza kiswahili unachotaka watu wakijue sisi wengine hatukitaki

utumwa huo,,,wanahstoria wanakwambia njia zilizotumika kupata watumwa moja wapo ni waafrika kujipeleka!!!!!!kila kitu c upinge ingia jukwaa la siasa hapa ni ujenz wa taifa!!!!
 
Back
Top Bottom