Umenena Mkuu,haya mapenzi ni habari tatanishi kwa dunia tunayoiishi leo,usije tamka eti mi siwezi kuoa masikini/tajiri wakati hujui kesho yako ipoje na usiishi kimazoea. Hata wanawake machizi barabarani nao wana watoto na walipendwa hvohvo ktk uchizi wao lakini pia wanapenda,SO BE CARE...
Ha!Ha!Ha! kama ulipenda kugegeda kugharamia muhimu,mtamwagwa na kuchapiwa kila siku afu mnakuja jf mnalialia 2 hapa tukushauri nini wakati ubahili ndo kipaumbele chako!! Achana Na Ulofa Mwanaume!!!
Ni Kweli Wanajitahidi Kuwajibika Na Familia Zao,tatizo Jamaa Wengi Wao Ni Makoleric Hvo Maisha Yao Kwny Ndoa Ni Shughuli Nzito Lazima Mwanamke Udhibitishwe Kuwa Na Moyo Wa Upendo Na Uvumilivu.
Mara nyingi wanawake wa aina hiyo huwa ni ulimbukeni kama si utoto unasumbua kumkichwa,lakini pia wanaume wanaokimbiwa ulimbukeni wa kuoa mwenza sahihi unawahusu. Hivo basi ni vema kuishi ktk hofu ya MUNGU na kuwa halisi katka ubora wako.
Hi Wakuu!! Kuna Kisa Kimemtokea rafiki yangu anaomba ushauri wenu wadau,ni mdada mzuri 2 lakini mapenzi yanamtesa kutokana na hulka aliyonayo hana makuu Bestito huyu ila kuna mkaka ametokea kumpenda huyu Best yeye anadai hampendi sababu ni ubabe wake,lakini huyu Best ana mahusiano na...
Sikubaliani na hoja yako Mkuu,huo umaniac tumeutoa wapi kama si "dyudyu" hzo??.Cha ajabu zaidi mwanamke aliezalia nyumbani anaonekana malaya kuliko mwanaume msababishi wa hyo mimba,hvi nyie viumbe (me) mnajielewa kweli????
Kwa hyo hoja yako hata wale wehu wanaozalishwa kila kukicha nao ni...
Wakati Mnaoana Si Kila Mtu Alikuwa Na Dini Yake??? Vivo Hivo Toeni Uhuru Watoto Wachague Dini Waitakayo Maana Wazazi Mshalikoroga Ndo Mlinywe Sasa Japo Chungu!!! Pia Huyo Mwanamke Yupo Sahihi Kabisa Anatimiza Wajibu Wake Kama Mama Hvo Basi Punguza Udikteta Umuelewe/akuelewe,UMENISOMA???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.