Msaada wa maneno "sex maniac"

Msaada wa maneno "sex maniac"

nyege kifuu tundu- nymphomaniac

Ashki majinuni- sex maniac

kuna moja nahisi nimefoji
 
Sikubaliani na hoja yako Mkuu,huo umaniac tumeutoa wapi kama si "dyudyu" hzo??.Cha ajabu zaidi mwanamke aliezalia nyumbani anaonekana malaya kuliko mwanaume msababishi wa hyo mimba,hvi nyie viumbe (me) mnajielewa kweli????
Kwa hyo hoja yako hata wale wehu wanaozalishwa kila kukicha nao ni Maniac?? ikumbukwe kuwa hisia tumeumbiwa nazo wote hvo huo umaniac tunao wote (ke na me) ila tofauti ni viwango tu!!!
 
Tatizo wanaume hawapendeki...ukiwa na mmoja anakuzingua kila siku..dawa yao hyo walee mimba za wenzao tu
 
Habari ndugu wana JF!

Neno "maniac" limenipa wakati mgumu sana kulipa tafsiri kama lugha ya Kiingereza inavyolitendea haki.

Ni baada ya takwimu za jana toka ofisi ya mkemia mkuu wa serikali zilizoonyesha kuwa asilimia 49% ya watoto wanaopelekwa kufanyiwa vipimo vya DNA na wanaume imebainika kuwa watoto ni wa kubambikizwa.

Hii ni closer to half yaani kati ya wanawake 10 ktk ndoa au mahusiano wanawake 5 wana cheat.

Ikumbukwe nilishawahi kutoa post namna wanawake hasa wake za watu au walio kwenye serious relationship wanavyo cheat watu walinishambulia.

Hii ina maana wanawake ni sex maniacs.

Umeshindwa kutafsiri vizuri takwimu za mkemia mkuu, "Kati ya wanaume wenye mashaka na watoto katika ndoa ni 49% mashaka yao huwa ni ya kweli"!wasio na mashaka ni wengi na hawaendi kwa mkemia kupima, wangechukua random sample ya ndoa zote hiyo percent inaweza kuwa pungufu ya 1%
 
Back
Top Bottom