Evelyn Salt njoo uone wenzio wanatoa mirejesho wewe wako hatuuoni.
Halafu Heaven on Earth vipi mrejesho wa ile dawa yetu?
:sly:🙄🙄 nimekubamba sikwoni kule lol!
Evelyn Salt njoo uone wenzio wanatoa mirejesho wewe wako hatuuoni.
Halafu Heaven on Earth vipi mrejesho wa ile dawa yetu?
Hayo ndo maisha sasa, usisahau na kumuibia hela akirudi chakari, kwanini ujipe stress kwa mtu ambae yupo kwenye starehe zake?
Mrejesho utatoka tu namalizia kutengeneza
Hahahahaa yani wewe umeniacha hoi
Ha! Mrejesho unatengenezwa?
Eeeh kama behind the scenes za movie vile
Hukufunzwa unyagoni kutotoa siri za ndani hadharani? Weka basi na picha ya mumeo ili tukupe ushauri full package!
Mhh haya bana, ngoja niusubiri huo mrejesho.
Ntafanyaje sasa.
Ha ha ha na ulivo na hamu nao sasa
Yaani we acha tu, ila wewe sikuamin, huchelewi kuuchakachua